Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Uwekezaji kwenye sekta zipi, na mikoa gani?Jamani amkeni amkeni
Huko dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 14 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2.
Mikataba iyo inahusu maeneo ya Kilimo, Biashara, Utalii na Uzalishaji wa Viwanda
Hongera sana Mhe. Rais kwa jitihada hizi. Mungu akubariki kwa kweli. Haya ndo maendeleo tunayotaka Watanzania
Kutoka Nyasa, ziwani
Lord denning
Huyu Mama sio mchezo kwa kweli! Huu ushawishi wake sio wa kawaidaNi jambo jema!
Soma uzi acha uvivuUwekezaji kwenye sekta zipi, na mikoa gani?
Lazima umkubali Samia. Ushawishi wake sio wa kitoto!Ni jambo jema!
Kiasi gani Kwa Zanzibar?Maeneo wametaja mengi ikiwemo industrial parks za Kibaha na maeneo ya uwekezaji( Economic Zones)
Hii nchi fursa ziko nyingi sana. Ilikosa mtu anayeaminika tu ambaye akishawishi watu wanashawishika kweliFungua nchi Mama Samia. Nchi inahitaji mitaji toka nje ili izalishe ajira. Cha msingi ni kukwepa mikataba ya kitapeli na kifisadi.
Ni jambo jemaJamani amkeni amkeni
Huko dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 14 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2.
Mikataba iyo inahusu maeneo ya Kilimo, Biashara, Utalii na Uzalishaji wa Viwanda
Hongera sana Mhe. Rais kwa jitihada hizi. Mungu akubariki kwa kweli. Haya ndo maendeleo tunayotaka Watanzania
Kutoka Nyasa, ziwani
Lord denning
Ni kweli, tulikuwa kisiwa kwenye nchi kavu.Hii nchi fursa ziko nyingi sana. Ilikosa mtu anayeaminika tu ambaye akishawishi watu wanashawishika kweli
Zanzibar wamepata uwekezaji mmoja wa Ujenzi wa Sehemu ya utalii wa kimikutanoKiasi gani Kwa Zanzibar?
HakikaNi jambo jema