Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #41
Mmoja ulikuwa ni makubaliano ya kujenga SGR. Bahati Mbabane sehemu ya kipande kile alikuja kupewa Mturuki na JPM ila mchina still kapewa Mwanza -IsakaSawa ila tunaomba utukumbushe ile mikataba ya kikwete na raisi wa china ni upi umetekelezwa maana nasikia ilikua ishirini na zaidina tuakaambiwa itaibadilisha tanzania lakina maisha ndo yanazidi kua magumu.
Bandari ya Bagamoyo serikali imesema majadiliano yameanza upya so tusubiri