Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

Bila kuona iyo mikataba hizi ni story za vijiweni kwa wala madawa
Story za vijiweni wakati kitu kilikuwa kinalushwa live bila chenga

Kama uliamini utilities saini wa mikataba ya madini iliyokuwa inafanyika ikulu mbele ya JPM bila kuoneshwa iyo mikataba huna budi kuamini pia na mikataba
 
Jamani amkeni amkeni
Huko dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 14 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2.

Mikataba iyo inahusu maeneo ya Kilimo, Madini, Biashara, Utalii na Uzalishaji wa Viwanda

Hongera sana Mhe. Rais kwa jitihada hizi. Mungu akubariki kwa kweli. Haya ndo maendeleo tunayotaka Watanzania

Kutoka Nyasa, ziwani
Lord denning
Kimbunga cha kuuza Ngorongoro kwa ndugu zake sio.
 
Story za vijiweni wakati kitu kilikuwa kinalushwa live bila chenga

Kama uliamini utilities saini wa mikataba ya madini iliyokuwa inafanyika ikulu mbele ya JPM bila kuoneshwa iyo mikataba huna budi kuamini pia na mikataba

Sikuamini
 
Rais wetu anajitahidi sana kuhakikisha anatuletea maendeleo na kuondokana na umasikini, wasiwasi wangu upo kwa viongozi ambao wamepewa dhamana ya kutekeleza mikakati yote iliyo wekwa, je wanayo nia ya dhati kama aliyo nayo Rais wetu?!
tusimungushe Rais wetu tufanye kazi kwa bidii kwa manufaa ya nchi yetu na kwa wananchi kwa ujumla.
 
Kuna Jamaa mmoja USA nadhani Senator alisema hivi kwanini hatujiulizi kwanini makampuni makubwa duniani wanaenda China kuwekeza na sio Africa, wakati Africa cheap labor? Sababu kubwa sera sio rafiki na kodi ni kubwa sana na hasa aliitaja Tanzania kama mfano huwezi kutoza 45% tax wakati ndio kwanza unaanza kuvuta watu na vibali vya ukaazi bei kubwa mara tano+ ya bei za Dubai. Lazima tuweke sera rafiki sana ili mtu achague Tanzania na sio nchi nyingine vitu vidogo kama hivi vinasaidia nchi na tuwe na sera endelevu sio kila mwaka tuna sheria mpya hili eneno sensitive. yote na yote nchi itaendelea kwa private sector tu na kama huna mtaji katafute mitaji. Mama yuko njia sahihi ila angalie sera za kodi na vya residence kwa wawekezaji. Nchi zingine wako mbele wanatoa mpaka uraia ukiwekeza kiasi fulani cha pesa ok huko tusiende lakini yako mambo madogo ya kufanya kuvutia watu.
 
Kweli kabisa!.
Watendaji wanatakiwa kuhakikisha haya mambo yote anayoyashughulikia Mhe. Rais yanafanikiwa mara moja na kusimamia utekelezaji wake kwa haraka sana
 
Kuna reformation kubwa sana Tanzania imefanya na inazidi kufanya ndani ya kipindi hiki kifupi hasa kwenye sheria za uwekezaji na kodi. Ndo mana naisi kuna kuongezeka kwa userious sana uwekezaji kuja Tanzania
 
Jamani amkeni amkeni
Huko dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 14 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2.

Mikataba iyo inahusu maeneo ya Kilimo, Madini, Biashara, Utalii na Uzalishaji wa Viwanda

Hongera sana Mhe. Rais kwa jitihada hizi. Mungu akubariki kwa kweli. Haya ndo maendeleo tunayotaka Watanzania

Kutoka Nyasa, ziwani
Lord denning
Angeweka Saini Ujenzi wa Reli ya Mtwara Hadi Mbaba bay, au Reli ya Mpanda-Karema, Tabora-Kigoma katika viwango vya Reli za meme ningeona mama kaupiga mwingi lakini hiyo miradi ya kilimo, Madini nk ni pesa za watu kuweka mifukoni huku miradi ikinunuliwa magari tu refer kilimo kwanza
 
Back
Top Bottom