Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

Kazi kwako, nilitaka kukyfahamisha jina lako hilo zaidi ya miaka 1400 limetajwa kwenye Qur'an. Hakika Qur'an ni muuijiza.


Kama hutaki sikulazimishi, kuwa na amani
Nina amani sana bila hicho kilevi unachotumia wewe.
 
Hatyebdi hivyo, mdogo mdogo. Tunaanza kwanza patapo tuinguzia pesa. Mifymo ya bandari ikisomana ujuwe. Na TRA kuna kimbembe.



Unafikiri watu wanaopinga sana bandari kuendeshwa na DP World ni wa kutokea wapi?


Adilimia kbwaa ni waliokuwa WanafaidikaKwa mfumo kuwa hovyo hovyo kwa makusudi kabisa.

Wapo wa TRA, wapo wa TPA, wapo wafanyabiashara, wapo taasisi za dini. Wapo vigogo. Wapo nchi jirani zenye bandari. Wapo wanasiasanuchwara. Ni mlolongo wa watubwasiozidi 2,000 wenye kufaidika moja kwa moja.

Wote hao wanawaumiza Watanzani

Kwani ulikatazwa kufanya mambo yako wa ufanisi? Mama si ndiyi anaziongeA fursa kwa Watanzania? Mbona Watanzania wengi wanafanya biashara kubwa kubwa.

Mama kawarudisha hata waliokimbizwa na mwendazake. Anawarudishia pesa waliobambikiwa na mwendazake. Hata wale ambao mwendazake aliwaambia wataishi kama shetani nao sasa wametulizana wanafanya biashara zao.
 
Nina amani sana bila hicho kilevi unachotumia wewe.
Ulevi ni haramu Kiislam.

Situmii chochote kinacholewesha, hata kula mpaka ukalewa Kiislaam haitakiwi.

Shika adabu yako kwa matusi ya reja reja. Tujadiliane humu kwa heshima.


Punguani wahed.
 
Unatueleza Yaleyale,mikataba 30 yote ipo humo imeanza kutekelezwa.
Uwe kidogo unapumzika we bibi
 
Yaani mnasaini mkataba kwanza halafu ndio mnaombiwa kuna fursa! Huu ni uwendawazimu kwa 100%.

Inapaswa kuambiwa kuna fursa kwanza halafu mnakwenda kuzidadisi kwa kina, mkiridhika nazo ndio mnakwenda kutengeneza mkataba, mnaujadili na mwisho kabisa ndio mnausaini.
 
Sasa angalia majibu kama haya.
Kazi ya huyo mama ni nini, siyo kuongoza waTanzania wawe na ufanisi katika kufanya kazi zao?
Kazi ya uongozi ni kuzunguka duniani ukitembeza bakuli na kuuza utu wa wananchi wako?

Kazi ya kwanza na muhimu kuliko zote kwa kiongozi, ni kuhakikisha hayo maTRA na matakataka yote unayoyazungumzia wewe yanafanya kazi kwa weledi.
Ni nani unayetaka asimamie kazi hiyo?

Nimekwisha kueleza mara kadhaa humu, Tanzania ni lazima ijijengee uwezo wa kufanya mambo yake kwa ufanisi, siyo kutegemea watu toka nje, ndio watufanyie kila kitu, hata yale yaliyo ndani ya uwezo wetu.
Lakini inakuwa ni kama uko'programmed'na software fulani, unabaki unarudia rudia tu hadithi za sisi "kutoweza."!

Achana na huu ushabiki unaopofusha akili. Kuna mambo ambayo ukiyaona/yasikia jaribu kufikiri kwa nini wengine wanaona tofauti na wewe.

Haya mambo ya nchi yetu siyo ya kufanyia ushabiki, hata kama hao unaowashabikia mnalewa pombe hiyo hiyo moja ndani ya klabu zenu.

Nadhani imetosha.

Lakini kama ukiendelea kuniwekea takataka, nitazijibu kadri nitakavyoona inafaa.
 
L

Lllll
Weka wewe wako ulionao kama unaona waangu siyo sahihi. Unangoja nini? Upinge wewe ushahidi nikupe mimi?


Hakika shule mlienda kusomea ujinga.
Kwamba wewe umesoma??ndo elimu yako hii??afadhali hata mbunge Msukuma ana phd uchwara
 
Nyie wazanzibari mnauza nchi yetu acheni mara moja!
 

Wewe ni mmoja katika wapigaji pale bandarini? Mbona imekunyima rahii hii Dp!
 
Nyie wazanzibari mnauza nchi yetu acheni mara moja!

Una ushahidi gani kama wanauza! Wewe kusikia tu waarabu akili yako ikakutuma kufikiria hilo!

Kuna watu akili zao zimejikita kwenye
1 UDINI
2 UCHAMA
3 UBAGUZI/UTAIFA
4 UMAGUFULI

Hili gonjwa baya sana
 
Mwaka 1985 Nyerere alishastaafu. Hapo alikuwepo Mwinyi ndio muasisi wa uuzwaji wa Tanganyika kwa waarabu.
Hiyo picha anaeonekana ni Mwinyi au sio? Au alieda kuaga jwa Qaboos?


Macho mnayo kakini hayaoni. Masikio mnayo lakini hayasikii.
 
Mleta mada naomba nikuulize maswali 3 nione kama unaweza kuyajibu kwa ufasaha!
Huenda wewe ni 'mnufaika' kwa mkataba huu wa hovyo kabisa inayoingiwa na CCM
 
Hiyi picha anaeonekana ni Mwinyi au sio?
Nyerere aliitwa ikulu kumsalimia mwarabu wakati huo ndio Mwinyi anaanza kupiga mnada mali za Tanganyika akianzia na msitu wa Loliondo.

Hata sasa mawaziri wote wanaopiga mnada Tanganyika ni either wazanzibari au waislamu: Suleiman Jafo, juzi kawapa waarabu misitu, Makamba kawapa upakuaji mafuta, Mbarawa kawapa bandari, Kinana wa CCM anauza nyara za serikali kwa mfalme wa uarabuni, nk. Tumechoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…