Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

Fursa tunazo waTanzania wenyewe.
Hakuna mtu mwingine yeyote toka nje atakayetuletea maendeleo hapa.

Huku ni kukosa akili kichwani.
Nakusikitikia sana. Hivi hizo fursa ulizonazo utaendelea bila kuingiza kipato cha kutoka nje?

Hebu rundika pesa zako nyunbani, usitoke nje ya nyumba wslsmudikaribishe wageni kufanya kazi au biashara na wewe, uone kama pesa zako zitaongezeka au zitakwisha.

Dunia nzima, hata nchi zilizoendelea duniani zinashindana kutafuta wawekezaji kutoka nje, unawaona wote hao wajinga?

Tanzania kwa watu wenye fikra kama zako, tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Sasa naelewa kwanini Wakenya hawana mali asili kama sisi lakini wanatupiga bao kiuchumi.

Hakika hizo shule mlienda kusomea ujinga.
 
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.

Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.

Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.

Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee 👇🏾

Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones

Tanzania-UAE Relations:​

By Giza MdoeMarch 4, 2022.

  • Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
  • Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
  • Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).

President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.

Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.
“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.
President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’
“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.

Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones

Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Hiyo hatujawahi kuiona, hatuna comments..

Huu wenyewe uko wazi, Kila mtu kauona. Ni mkataba wa hovyo, mbaya, wa kijinga na hautufai sisi Watanganyika..

Pelekeni takataka hiyo kwenu Zanzibar..!

Ujinga wenu ni mmoja tu. Kuuweka nyeti zenu wazi..

Laiti mngefanya kimya kimya tu, tungehisi maumivu kwa matokeo yake tu..

Lakini mmetuonesha ujinga wenu halafu tuwaache kimya kimya tu???

No way!!!
 
Hakuna anaongelea kuvunjwa muungano. Zanzibar ina nafasi kubwa sana haikuelemewa wala hata kukunwa bado. Tazama Singapore, kijikisiwa kidogo tu na bafo kinakuwa mpaka leo.

Mimi ni Mtanganyika, siyo Mzanzibari lakini nakwambia uungano ukivunjika hasara kwa Tanganyika. Kumbuka hilo.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hebu tutajie hizo hasara na faida ? ili watu wajinga wazijue toa darasa kidogo

wewe ni mtumwa wa mawazo yako mwenyewe
 
Sivijuwi.

Natamani huu mkataba ubadilihwe. Vifungu vyote vya sheria, Mpewe nyie. Muuandike upya mwnazo mpaka mwisho, halafu mama awapeleke DP World wakajenge gateway port Zanzibar kama walivyofanya London gateway port.
. Ndani ya mwaka mmoja kitu tayari, bandari ya Dar ibaki kuokea mizigo kutoka Zanzibar tu.

Unafikiri meli ipi ya nje itakuja hapa ikiwekwa DP World Zanzibar gateway port? Ambayo meli ikifika tu tu ndani ya masaa mawili matatu mzigo umeshshashushwa. Unawangoja mapoyoyo mkau chukuwe. Zanzibar kiulaini watakuka hela zao za kuegesha makontena yenu tu.

Mama ni mwema sana hakufanya hayo. Lakini, lisemwalo lipo.
Mbona sikuhizi unakosea sana kuandika? Kulikoni? Au akaunti imedukuliwa nini
 
Na amejtahidi kuuweka uwazi lakini hofu tu ya baadhi ya watu muhimu kuboresha vipengele vyenye utata.
Kuna watu walikuwa na hofu kama hii wakati hayati Mkapa alivyoleta FDI za SA lakini nyingi zinafanya vizuri mpaka leo

Tunangoja bahari ikauke
 
Nakusikitikia sana. Huvi hizo fursa ulizonazo utaemdelea bika kuibguza. Kipato cha kutoka nje?

Hebu rundika pesa zako nyunbani, usitoke nje ya nyumba wslsmudikaribishe wageni kufanya kazi au biashara na wewe, uone kama pesa zako zitaongezeka au zitakwisha.

Dunia nzima, hata nchi zilizoendelea duniani zinashindana kutafuta wawekezaji kutoka nje, unawaona wote hao wajinga?

Tanzania kwa watu wenye fikra kama zako, tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Sasa naelewa kwanini Wakenya hawana mali asili kama sisi lakini wanatupiga bao kiuchumi.

Hakika hizo shule mlienda kusomea ujinga.
Jisikitikie mwenyewe na huyo unayemtumikia anayelazimisha tuwe watega bakuli kwa kila kitu.

Mtu kama wewe mwenye akili iliyoishia kutegemea wengine, hata huwezi kutambua kwamba sijasema kuwa wawekezaji wote hatuwataki.
Ni wawekezaji matapeli na wanaotafuta kudhalilisha nchi zetu ndio tusiowataka.

Wawekezaji, hata hao wanaotafuta kuvuna kwa manufaa yao na yetu ni msaada tu wa kuunga juhudi zetu za kujiletea maendeleo.
Hatuwezi kuacha nchi yetu ije ijengwe na watu toka nje

Hakuna nchi yoyote duniani iliyotegemea watu waje wailetee mandeleo, wao wamebaki wanatembeza tu midomo kama mnavyofanya nyinyi.

Mwambie huyo mama afanye kazi na wananchi wake, asipoteze muda wote akishughulika na uwekezaji wenye masharti ya kutudhalilisha.
 
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.

Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.

Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.

Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee 👇🏾

Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones

Tanzania-UAE Relations:​

By Giza MdoeMarch 4, 2022.

  • Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
  • Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
  • Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).

President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.

Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.
“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.
President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’
“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.

Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones

Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Why Dubai??
 
Hiyo hatujawahi kuiona, hatuna comments..

Huu wenyewe uko wazi, Kila mtu kauona. Ni mkataba wa hovyo, mbaya, wa kijinga na hautufai sisi Watanganyika..

Pelekeni takataka hiyo kwenu Zanzibar..!

Ujinga wenu ni mmoja tu. Kuuweka nyeti zenu wazi..

Laiti mngefanya kimya kimya tu, tungehisi maumivu kwa matokeo yake tu..

Lakini mmetuonesha ujinga wenu halafu tuwaache kimya kimya tu???

No way!!!
Mbona mmekazana "wa hovyo" lakini mkiambiwa onesheni huo uhovyo uko kifungu kipi, hamsemi?

Mimi nakwambiani mkataba mzuri sana na unajijibu wenyewe maswali yote. Usidanganywe na wajinga wachache wasioitakia mema Tanzania ya mama Samia. Kwa chuki tu za agenda zao siri.

Upitie. Mkataba hapa👇🏾 halafu tuambie nini cha hovyo. Bofya chini hapo 👇🏾

Mbona mmekazana "wa hovyo" lakini mkiambiwa onesheni huo uhovyo uko kifungu kipi, hamsemi?

Mimi nakwambiani mkataba mzuri sana na unajijibu wenyewe maswali yote. Usidanganywe na wajinga wachache wasioitakia mema Tanzania ya mama Samia. Kwa chuki tu za agenda zao siri.

Upitie. Mkataba hapa[emoji1484] halafu tuambie nini cha hovyo. Bofya chini hapo [emoji1484]

Weka nakala halisi ya mkataba, siyo hiyo tafsiri yako.
 
Why Dubai??
Dubai ni jiji la connections za uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa.

Hivi dunia ya leo ni nani asiyetaka kufanya biashara na kitovu cha biashara duniani?

Dubai ndiyo nchi yenye mkusanyiko mkubwa wa wawekezaji kutoja kila pembe ya dunia. Ukiwekeza na mwekezaji tajiri mmoja wa Dubai ujuwe umewekeza na dunia.
 
Niliona habari moja inasema Dubai na Tanzania wamesaini MOU kuhusu misitu. Kwa hiyo hadi misitu tutegemee Dubai??
 
Weka nakala halisi ya mkataba, siyo hiyo tafsiri yako.
Weka wewe wako ulionao kama unaona waangu siyo sahihi. Unangoja nini? Upinge wewe ushahidi nikupe mimi?

Hakika shule mlienda kusomea ujinga.
 
Sawa tumekusikia. Wale wa zamani wenzangu watakumbuka tulisikia hayo ya mapoyoyo wakisema bchi wanauziwa makaburu. Akiambiwa Mkapa anauza nchi. Mboa bado ipo mopaka keo?

Wajanja wachacge wenye exposure wakaiona fursa, wakaikumbatia, keo mabilionea Tanzania hii.

Wewe ningekuona una akili ungeuliza, hizo fursa tunazipata vipi , siyo kubwabwaja bila mpango. Kauze vyako kama rahisi.

. Kalaga baho.
NBC ipo?, CRDB, migodi?
 
Niliona habari moja inasema Dubai na Tanzania wamesaini MOU kuhusu misitu. Kwa hiyo hadi misitu tutegemee Dubai??
Ndugu yangu kitu usichokielewa ni kuwa suala la kulinda mazingira duniani ni jukumu la kila mtu lipo chini ya UNEP, makao makuu ya UNEP yapo Nairobi, Kenya. Tanzania na Dubai zote ni wadau wa kulinda mazingira. Na nchi zinazozalisha kaboni kwa wingi duniani zimekubaliana zilinde misitu ya duniani. Sasa kama mama kaweza kuwa convince adilimua yao ya ulibdaji misitu ya dubia waulete Tanzanua, tatizo. Liko wapi? Mbona nchi nyingi zinafanya hivyo?

Halafu huelewi kuwa katika Uislam kulinda mazingira ni ibada.

Umewahi wenda dubai?

1687377373156.png

1687377531287.png

Soma zaidi kuhusu UNEP: unep full form headquarters - Google Suche
 
Attachments

  • 1687377443194.png
    1687377443194.png
    15 KB · Views: 4
Maswali ya msingi ukiulizwq unakimbia nakuuliza moja la mwisho

Je dubai wanakuja kusaidia Tanzania au kujenga maslai yao kiuwekezaji?

Kwa akili yako unahisi Dubai wanahangaikia ya kwao au ya kwetu?
 
Na amejtahidi kuuweka uwazi lakini hofu tu ya baadhi ya watu muhimu kuboresha vipengele vyenye utata.
Kuna watu walikuwa na hofu kama hii wakati hayati Mkapa alivyoleta FDI za SA lakini nyingi zinafanya vizuri mpaka leo
Vipi kuhusu net group solution aliowaingiza Kwa mtutu wa bunduki Tanesco? Walikuja wakakusanya madeni ya Tanesco wakakata umeme mpaka kwenye mawizara ya serikali. Walipomaliza kukusanya pesa kazi ikawashinda wakarudi kwao
Kwa kifupi watanzania mabwege ndo maana mnaowachagua hawa waogopi wanafanya watakavyo
 
Jisikitikie mwenyewe na huyo unayemtumikia anayelazimisha tuwe watega bakuli kwa kila kitu.

Mtu kama wewe mwenye akili iliyoishia kutegemea wengine, hata huwezi kutambua kwamba sijasema kuwa wawekezaji wote hatuwataki.
Ni wawekezaji matapeli na wanaotafuta kudhalilisha nchi zetu ndio tusiowataka.

Wawekezaji, hata hao wanaotafuta kuvuna kwa manufaa yao na yetu ni msaada tu wa kuunga juhudi zetu za kujiletea maendeleo.
Hatuwezi kuacha nchi yetu ije ijengwe na watu toka nje

Hakuna nchi yoyote duniani iliyotegemea watu waje wailetee mandeleo, wao wamebaki wanatembeza tu midomo kama mnavyofanya nyinyi.

Mwambie huyo mama afanye kazi na wananchi wake, asipoteze muda wote akishughulika na uwekezaji wenye masharti ya kutudhalilisha.
Wewe hukulazimishwa kuzitumia fursa, lakini usije kusema hukuambiwa. Au serikali haikuleta fursa.

Hivi kiwanda cha kuuunda sindano za Kushonea nguo kiko wapi vileTanzania? Kumbuka siulizii za kushonea viatu kwa mkono.

Unafahamu kuwa hilo jina lako "kalamu" limetokea ndani ya Qur'an?

Sikio la kufa halisikii dawa.
 
Maswali ya msingi ukiulizwq unakimbia nakuuliza moja la mwisho

Je dubai wanakuja kusaidia Tanzania au kujenga maslai yao kiuwekezaji?

Kwa akili yako unahisi Dubai wanahangaikia ya kwao au ya kwetu?
Sijawahi kukimbia swali. Labda sijaliona au umeuliza maswali mengi kwa pamoja. Naamini kuwa aulizae ataka kujuwa, mpaka nimeweka uzi miaka sasa wa yeyote kuniuliza swali lilote. Ntakuwekea link chini hapo.

Umeukiza maswali mawili. Siyo moja kama ulivyosema. Ssi kitu, majibu:

1) Mikataba iliyoingiwa ni ya ushiriano kimaendeleo na uwekezaji. Siyo uwekezaji wa Dubai tu kuwekeza Tanzania bali pia kwa Tanzania kuwekeza Duba tunakaribishwa na runawakaribisha. Mbona kuna Watanzania wengi tu wamewekeza Dubai.

2) Kwa "akili" yangu hakuna anaehangaika. Dubai ni wafanya biashara kubwa kubwa duniani na ndogo ndogo pia, hakuna biashara ya halali wasiyoifanya kwao. Fikiri, ikiws kazi yao kubwa ni biashara yao kwanini iwe kuhangaiska?

Kama wameziona fursa za biashara Tanzania na mitaji wanayo mimi naona hiyo nayo ni fursa kwetu, au wewe unsmaonaje?
 
Back
Top Bottom