totoadela
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 369
- 1,106
😃😃😃 twiga tenaWarudishe twiga wetu waepukane na mabalaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃 twiga tenaWarudishe twiga wetu waepukane na mabalaa
Kuna Ford Bronco pia,Naliitaga pepo Hilo ni masculine car haswa
Mkuu hiyo siyo BMNimeona Black BMW inaoga na kunywa vikombe vya kutosha
Mbona umenisahau mimi ninayeishi na kumiliki jumba langu la usd 50 m palm jumeirah?Natoa Pole kwa Jamaa zangu pale Sharjah, Deira Union , Al sabkha, Gold Souq Gate no 2& 3, Silver Touch, Al madina , Al coniche, Al yazia Plaza, swahili Restaurant, Bila kusahau wapambanaji wote Pale Dubai Mall
Dubai sio mara ya kwanza kukumbwa na mafuriko baada torrential rains kupiga kwa siku mbili tatu mfululizo. Mwaka 2020 yalitokea makubwa kama haya na cha kukumbuka ni kwamba maji huwa yanahamishwa kwa muda tu, baada ya miaka kadhaa water courses always claims their waysMzuka wanajamvi!
Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi.
Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji.
====
View attachment 2965604View attachment 2965605View attachment 2965606View attachment 2965607View attachment 2965607View attachment 2965608View attachment 2965609View attachment 2965610---
Torrential rain and violent thunderstorms have brought apocalyptic scenes to Dubai with parts of the UAE brought to a standstill by heavy flooding.
Video shows luxury cars submerged in deep water and waves buffeting the traffic while high-end muscle cars and Teslas were seen struggling through the floods as city authorities advised people to stay home.
More than 4.7ins (120mm) of rain has already fallen today - the typical yearly average in the city - with more expected in the coming hours.
Nearly 50 flights in and out of Dubai have been cancelled since this morning, with shocking video showing several jets cutting through murky water at Dubai International Airport, the busiest for international travel.
Flood water cascaded through luxury underground malls while shoppers in designer clothes waded through water.
Above ground, howling winds blew furniture off tower-block balconies while the skies turned black with apocalyptic videos showing lightning strikes every few seconds.
Unstable weather conditions are expected to continue in the region through to Wednesday, UAE's National Center of Meteorology said.
Cc Lavit ITR Chaliifrancisco
Nisamehe mkuu Maghayo kwa Kukusahau.Mkuu hiyo siyo BM
Mbona umenisahau mimi ninayeishi na kumiliki jumba langu la usd 50 m palm jumeirah?
RRONDO
Heshima kwako mkuu nimecheka balaa. Pitia hapo kwa mangi agizia chochote ntalipa baadaye.Nisamehe mkuu Maghayo kwa Kukusahau.
Ila nyie pale Palm tayari mlikwishajipata mnaishi pepo yenu . Kimbembe ni huku uswekeni kwa Wa Pakstani , Wafilipino, Nepal na Wahindi , wa nigeria, Waganda.
Mwenyezi MUNGU awanusuru.
Shida ni hili bwawa la nyerere, walijenga bila kushirikisha wataalam. R.I.P JPMMzuka wanajamvi!
Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi.
Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji.
====
View attachment 2965604View attachment 2965605View attachment 2965606View attachment 2965607View attachment 2965607View attachment 2965608View attachment 2965609View attachment 2965610---
Torrential rain and violent thunderstorms have brought apocalyptic scenes to Dubai with parts of the UAE brought to a standstill by heavy flooding.
Video shows luxury cars submerged in deep water and waves buffeting the traffic while high-end muscle cars and Teslas were seen struggling through the floods as city authorities advised people to stay home.
More than 4.7ins (120mm) of rain has already fallen today - the typical yearly average in the city - with more expected in the coming hours.
Nearly 50 flights in and out of Dubai have been cancelled since this morning, with shocking video showing several jets cutting through murky water at Dubai International Airport, the busiest for international travel.
Flood water cascaded through luxury underground malls while shoppers in designer clothes waded through water.
Above ground, howling winds blew furniture off tower-block balconies while the skies turned black with apocalyptic videos showing lightning strikes every few seconds.
Unstable weather conditions are expected to continue in the region through to Wednesday, UAE's National Center of Meteorology said.
Cc Lavit ITR Chaliifrancisco
Una ushamba mwingiBila shaka we ni mk
w
tuoneshe ata picha moja tu ya GTX la Buguruni wew unazani ayo magari ni mo boxer izo kwamb kila kiumbe anaweza ku afford
asa mim na wew Nani mshamba kwanza ata hiyo GTX unajua ni Nin usije ukajua ni limkototeni lako uliloacha kijijini kwenu MboziUn
Una ushamba mwingi
Dah mvua zimeleta majanga sana. Mungu atunusuru
Kazi yako kukariri majina ya magari tu inawezekana kwenye simu yako umesave magari ya wanaume wenzio tu.asa mim na wew Nani mshamba kwanza ata hiyo GTX unajua ni Nin usije ukajua ni limkototeni lako uliloacha kijijini kwenu Mbozi
Hivi ford bronco zipo bongo kweli?Kuna Ford Bronco pia,
Sijui ila . Juzi kati nimeona Ford Super duty. Pale mitaa ya Kalakata Airport.Hivi ford bronco zipo bongo kweli?
Asanteni Watanzania kwa kutujali.Poleni waarabu...