Dube: Viongozi wa Azam wanashabikia timu mnayocheza nayo

vvvv

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
406
Reaction score
717
Akihojiwa Dube ameeleza kwamba ndani ya timu wapo viongozi wanaoshabikia timu zingine mnaocheza nao nje ya Azam

Anaeleza kwamba mnapocheza viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora aende sehemu ambayo watu wote ndani ya timu wanafikiria na kuwaza kitu kimoja.

NB: Azam kwa mtindo huu wasahau mafanikio makubwa.
 
[emoji3][emoji3]
 
afadhali dube katema ukweli...ni muda sasa mzee bakhresa kuuza hii timu,biashara ya mpira mbele ya simba na yanga ni ngumu mno
 

Hapa Bongo karibu watu wote timu zao za kwanza ni Simba au Yanga, baada ya hapo ndio zitafuata hizo nyingine...
 
Azam ilifanya ujinga kuwa tawi la Simba muda mrefu
Waliwapa wachezaji 5 wa team ya kwanza Boko, Manura, Kapombe, Nyoni
Waliwapa Ngasa
Na uhuni wa kijinga

Fikiria team makini wakaenda kumshawishi feitoto atoke Yanga aende azam baadae watampeleka simba

Azam waache undugu usio na faida na Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe

Aahaaaaa

Usimba na Uyanga utatumaliza
 
Sasa shida iko wapi wakati yeye ni mchezaji anatakiwa kufanya majukumu yake na hao viongozi wanafanya majukumu yao.
Mbona marefa tunawajua timu zao na bado wanasimamia majukumu yao.
Huyu Dubu sijui Dube ana matatizo yake binafsi hvy anatengeneza story ili aende huko aliponunuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…