Dube: Viongozi wa Azam wanashabikia timu mnayocheza nayo

Dube: Viongozi wa Azam wanashabikia timu mnayocheza nayo

Aende Yanga atufunge Simba ili afurahi.
Na atatufunga sana Simba.

Tunaheshumu sana mawazo yake.
 
Sasa shida iko wapi wakati yeye ni mchezaji anatakiwa kufanya majukumu yake na hao viongozi wanafanya majukumu yao.
Mbona marefa tunawajua timu zao na bado wanasimamia majukumu yao.
Huyu Dubu sijui Dube ana matatizo yake binafsi hvy anatengeneza story ili aende huko aliponunuliwa.
Kaka unajua maana ya neno team ?
 
Kaka unajua maana ya neno team ?
Screenshot_20240307-224715.png
 
Kwa kauli hii ya Dube haihitaji saikolojia ya juu kujua anakoenda.
 
Haya kumekucha, chuma kwa chuma.
Wakati wanashangilia sisi kuambiwa tulimlisha sukari yule dogo mzinguaji, hii ni kashfa kubwa ya kupanga matokeo.
Yale malalamiko yalishadadiwa sana na mambumbumbu mtu ale ugali kwa sukari aweze kupiga mashuti kama yale si tungemuona mabega yamekaa kama reli ya treni na kitumbo cha chini ya kitovu kama konzi.
 
Haya kumekucha, chuma kwa chuma.
Wakati wanashangilia sisi kuambiwa tulimlisha sukari yule dogo mzinguaji, hii ni kashfa kubwa ya kupanga matokeo.
Chuma kwa chuma yule wa Gigy money?
 
Cha msingi ni walikuwa wanapewa support kama wachezaji, mambo binafsi isiwekwe ionekane ni viongozi wote. Ingekuwa wananyimwa mishahara au kuna fitina yoyote kabla ya hizo mechi ndo ingekuwa sababu
 
Nikukumbushe TU Azam FC si ya wanachama.
 
Huyu nae mpumbavu. Huwezi kuondoka kimya kimya na kuongelea mazuri ulipotoka?

Fala tu nae
 
Nilijua tuu lile sakata la Feiurojo bin sukari Yanga hatuwezi kukubali liishe kienyeji namna ile bila kulipa kisasi kizito. Hapo viongozi wa Azam wajitathimini.
 
Tulia dawa iwaingie,bado script nyingine zinakuja
Mkuu. Mi Mwananchi, Azam sio team yangu.

Lakini, ukiacha kazi mahala, haina haja kuiongelea vibaya ukitoka, same ukiachana na mpenzi wako, ya nini umesee vibaya?
 
Akihojiwa Dube ameeleza kwamba ndani ya timu wapo viongozi wanaoshabikia timu zingine mnaocheza nao nje ya Azam

Anaeleza kwamba mnapocheza viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora aende sehemu ambayo watu wote ndani ya timu wanafikiria na kuwaza kitu kimoja.

NB: Azam kwa mtindo huu wasahau mafanikio makubwa.
viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora aende sehemu ambayo watu wote ndani ya timu wanafikiria na kuwaza kitu kimoja.
 
Hebu fikiria,watu wanajituma uwanjani ila viongozi hawapo na nye wanashabikia kwingine nye mpo na kocha tu,viongozi wa azam wapo tu pale kupiga hela


Si mnalipwa sehemu yenu? Shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom