Kuna post match interview yake dhidi TZ Prisons hii hapa chini nimeambatanisha, hii kauli yako kuna doubts nilikuwa nazo kichwani kwangu body language yake na anachozungumza ni vitu viwili tofauti kabisa.Nikweli ahmed kiasili ni shabiki wa yanga ila kwasasa sidhani kama anaweza kuwa anaihujumu simba kwasababu anapata pesa
View: https://www.youtube.com/watch?v=G54wwiyUM2A&t=165s