gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Usimba na uyanga uko kila mahali.hadi tutakapovunja hiyo hali kwenye timu zetu nyingine kwenye ligi ndipo zitakapoleta ushindani wa kweli.Alichokisema bude inawezekana kabisa kwasababu azam sio timu yenye njaa lakini haina ushindani wakuzisumbua simba na yanga kwenye mbio za ubingwa.