Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Nikweli ahmed kiasili ni shabiki wa yanga ila kwasasa sidhani kama anaweza kuwa anaihujumu simba kwasababu anapata pesaMboni Ahmed Ally ni Yanga Ila yupo Simba? Anachekea CHOONI Jana ulifikiri analia hapo hio inaitwa anachekea CHOONI View attachment 2927497
Hapo ni Azam na Yangi kamaAende Yanga atufunge Simba ili afurahi.
Na atatufunga sana Simba.
Tunaheshumu sana mawazo yake.
Kaka unajua maana ya neno team ?Sasa shida iko wapi wakati yeye ni mchezaji anatakiwa kufanya majukumu yake na hao viongozi wanafanya majukumu yao.
Mbona marefa tunawajua timu zao na bado wanasimamia majukumu yao.
Huyu Dubu sijui Dube ana matatizo yake binafsi hvy anatengeneza story ili aende huko aliponunuliwa.
Kaka unajua maana ya neno team ?
Yeye mwenyewe Dube kuna upande yupo kati ya simba na Yanga.Sio TFF tu. Ni utamaduni wetu nchi hii, usipokuwa Simba basi utaipenda Yanga.
Yale malalamiko yalishadadiwa sana na mambumbumbu mtu ale ugali kwa sukari aweze kupiga mashuti kama yale si tungemuona mabega yamekaa kama reli ya treni na kitumbo cha chini ya kitovu kama konzi.Haya kumekucha, chuma kwa chuma.
Wakati wanashangilia sisi kuambiwa tulimlisha sukari yule dogo mzinguaji, hii ni kashfa kubwa ya kupanga matokeo.
Chuma kwa chuma yule wa Gigy money?Haya kumekucha, chuma kwa chuma.
Wakati wanashangilia sisi kuambiwa tulimlisha sukari yule dogo mzinguaji, hii ni kashfa kubwa ya kupanga matokeo.
Cha msingi ni walikuwa wanapewa support kama wachezaji, mambo binafsi isiwekwe ionekane ni viongozi wote. Ingekuwa wananyimwa mishahara au kuna fitina yoyote kabla ya hizo mechi ndo ingekuwa sababu
Tulia dawa iwaingie,bado script nyingine zinakujaHuyu nae mpumbavu. Huwezi kuondoka kimya kimya na kuongelea mazuri ulipotoka?
Fala tu nae
Mkuu. Mi Mwananchi, Azam sio team yangu.Tulia dawa iwaingie,bado script nyingine zinakuja
viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora aende sehemu ambayo watu wote ndani ya timu wanafikiria na kuwaza kitu kimoja.Akihojiwa Dube ameeleza kwamba ndani ya timu wapo viongozi wanaoshabikia timu zingine mnaocheza nao nje ya Azam
Anaeleza kwamba mnapocheza viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora aende sehemu ambayo watu wote ndani ya timu wanafikiria na kuwaza kitu kimoja.
NB: Azam kwa mtindo huu wasahau mafanikio makubwa.
Hebu fikiria,watu wanajituma uwanjani ila viongozi hawapo na nye wanashabikia kwingine nye mpo na kocha tu,viongozi wa azam wapo tu pale kupiga hela