Dube: Viongozi wa Azam wanashabikia timu mnayocheza nayo

Wa
afadhali dube katema ukweli...ni muda sasa mzee bakhresa kuuza hii timu,biashara ya mpira mbele ya simba na yanga ni ngumu mno
Wazo lako la kitoto,. Vilabu vyote nchini viongozi wake, mashabiki wake na wachezaji wake wote washabiki wa Simba na Yanga na wengine wanachama kabisa.
Mwigulu ni mmiliki wa Singida FG FC na member wa bodi ya Yanga. Sasa kuna ajabu gani viongozi wa Azam kushabikia Simba na Yanga?
 
For once msema kweli kwa mara ya kwanza kuhusu ligi yetu .....
 
Dube analipwa mshahara kuchezea timu yake, mambo ya viongozi awaachie huko ofisini na jukwaani, huyu kiumbe sio professional.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Aache unafiki kama ameichoka team yetu aondoke,fadhila zote tulizompa na vipaumbele kibao leo amegeuka punda
Pia nimeona sehemu anasema "Alikuwa analazimishwa kwenda madrasa kujifunza quran"
 
Hilo halina shaka kuhusu asili ya huyo na Yanga kwasababu hata Nadir Canavaro kiasili alikuwa mshabiki wa simba,mkude nae hivyohivyo ni yanga lialia na wengine wengi tu ila sasa malisho yakiwa mazuri iweje uihujumu hiyo timu inayokupa hayo malisho?
 
Usichokijua ni kua kwa sasa hivi Azam limekua tawi la Yanga,

CEO
Msemaji
Zakazakazi

Hao ni yanga lialia, wakikutana na simba wanakaza kwa yanga wanalegeza
 
Un professional kwa wachezaji hawa ndio utarajie timu ibebe caf champions League
 
Wewe unamtukana mwajiri wako ehh,utakoswa mafao😁.sharing yakoo😅
 
🚮🚮🚮
 
Kwahiyo kumbe pale azam wenye akili ni wachezaji na kocha tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…