Mwana FA kuwa pamoja na akina nuhu mziwanda sidhani kama ni tatizo. Wanaweza kuwa pamoja swali jiulize je wanalipwa amount sawa nadhani jibu ni total different. Mbona Neyo anafanya music na diamond. Mbona diamond kafanya music na papa wemba.Kama mwana FA nae yuko kwenye fiesta na akina Nuh Mziwanda ni aibu sana...alitakiwa awe mbali sana kwenye game kitambo
Itakuwa ni buku kumi kwa siku.Hiv kwa anaeujua ukwel hawa waasanii wanalipwa kias gan kwa show za fiesta na kwa show za kawaida
sio mbaya kama ni hvyoItakuwa ni buku kumi kwa siku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulikuwa jela?
Kinachoendelea pale Clouds mtakuja kukijua baadae sanaaa. Tena saaaaana.
Wale ni wafanya biashara, Bongo fleva kwao ni opportunity.
hata kama analipwa laki tano. Nuh laki mbili ni aibu sana kwa mtu wa calibre yake kuzungurushwa kwenye coaster na akina nuh...amejiaibisha sanaMwana FA kuwa pamoja na akina nuhu mziwanda sidhani kama ni tatizo. Wanaweza kuwa pamoja swali jiulize je wanalipwa amount sawa nadhani jibu ni total different. Mbona Neyo anafanya music na diamond. Mbona diamond kafanya music na papa wemba.
Ahhhh, kaka mbona kitambo keshajisalimisha kiaina.Dully ka sign wcb?
Yeye kasema clouds ni wanyonyaji na wana miaka sita hawajapiga ngoma zakeSijauliza ikiwa katoa wimbo au hapana... nimehoji, mara yako ya mwisho kusikia ngoma ya Dudubaya ni lini na kupitia station gani?! Na nimeuliza wimbo wake wa mwisho ku-hit ni upi?! Aidha nikahoji, ikiwa mwaka 2013 alikuwapo kwenye Fiesta, mwaka 2104 akaomba kupanda kwenye jukwaa la Fiesta! Mwaka 2015 hakukua na Fiesta! Sasa huo ubaya wa Fiesta umeanza 2016 kwavile hayupo kwenye list?!
Upo unaelewa vizuri fitina za mawingu?Totally right mostly of haters they no nothing about music business... Kuna comments zinatia simanzi mtu yupo huko vijijini hajui biashara ya mjini ikoje anawashauri wasanii waikimbie clouds??? Huyo dudubaya kwa sasa amechoka mbaya kazi kugongea bia na konyaji akikutana na wadau clubs..Jambo zito la kujiuliza ni kwanini high percentage ya wanaokimbia clouds hubaki maskini wa kutupwa na kuacha mziki jumla... kama kuna njia mbadala kwa nini wasiende huko wakati wanapokimbia clouds.Biashara za mziki Tanzania bado ni risk sana ndio maana makampuni na stations/tv nyingi zimegoma kuanzisha matamasha makubwa yenye formula inayoeleweka kama clouds...Pia jambo la kujiuliza ni kwanini hawa wasanii wakiondoka clouds huanza kulia lia kama watoto eti clouds imeua muziki wao kwani clouds ndio baba yao au ndio media pekee Tanzania.. Hawa waliojaribu kufanya tuwapongeze sana
Cloooooooooooooooooooooouds fm,wale jamaa ndio Tbs na Tfda ya burudani hapa Bongo,kama wimbo wako hawajaupasisha basi katunge mwingine, nawapenda sana wazee wa burudani.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kama mwana FA nae yuko kwenye fiesta na akina Nuh Mziwanda ni aibu sana...alitakiwa awe mbali sana kwenye game kitambo
Hahahaha fid q hana mipango yule pmj na lyrics zake kali, anawekwa kapu moja na kina man fongoMkuu maisha ujamuona Fid Q yupo kwenye costa na wakina shilole
Mwana FA kuwa pamoja na akina nuhu mziwanda sidhani kama ni tatizo. Wanaweza kuwa pamoja swali jiulize je wanalipwa amount sawa nadhani jibu ni total different. Mbona Neyo anafanya music na diamond. Mbona diamond kafanya music na papa wemba.
Kila lenye manzo lina mwishoBila kuongelea Clouds Media naona watu hawana pa kupatia kiki
Kama wasanii wangekuwa wanalipwa pesa mbaya si wangeenda kwingine.
Mkubali kuwa Clouds kwa jina.wamejijenga na mengi hata iweje...wakongwe wa mengi nchini.
Ndio hivo mkuu wanachofaidi kule ni kuwatafuna watoto tu, ila dar hawarudi na marundo ya pesaHivi hawa wasanii wa bongo hawawezi kujichanga wakaanzisha kituo chao binafsi cha radio na TV ili waache kuwaabudu watu?Maana kiukweli kwa matamasha kama haya ya Fiesta hayana faida yoyote kwao bali wanaenda tu kwa kuwa wakikataa nyimbo zao hazipigwi.Ni aibu sana!
Kama wanafunzi wa chekechea vileee ni kwamba wasanii hawana umoja wangekuwa na umoja croud's wangewaheshimuKama komando JIDE, hamna kuyumbishwa, inasikitisha wasanii wakubwa wamejazwa ndani ya coaster dar hadi mikoani kisa kuiogopa clouds mwdia.