Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Dudu baya bana,,,kumbe analaana. Hivi mamake yuko hai??
Em angalia source ya habari,
Si ndio humo kwnye aource kna shuruma ya mapunga wengi hadi members humu wametolea ushahidi
 
nilisikiaga ye mwenyewe alikuwaga mganga wa kienyeji.

hivi si ana studio inaitwa TETEMESHA RECORD?ina maana hata mziki ukigoma studio pia hailipi?
Amewahi kukuagua?
 
Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.

source : clouds fm
Hahahaha
 
Mnaibua haya baada ya kuwataja kuwa marinda hakuna huko nyuma au!!!
 
Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.

source : clouds fm
Kumbe ana laana ya mama yake ndio maana yanamtoka tu, halafu watu na akili zao wanamsikiliza
 
Mange kimavi,mange kimavi,mange kimavi mimi ndo Konki Konki konki Konki Masta. Msyuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom