Sasa kama mtu anaimba "KAMA HAUNYWI BIA WE NI KENGE",ni nan atapenda nyimbo zake.?
hahahaha hii kali sana...kweli huyu jamaa ni mwehu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama mtu anaimba "KAMA HAUNYWI BIA WE NI KENGE",ni nan atapenda nyimbo zake.?
Em angalia source ya habari,Dudu baya bana,,,kumbe analaana. Hivi mamake yuko hai??
Amewahi kukuagua?nilisikiaga ye mwenyewe alikuwaga mganga wa kienyeji.
hivi si ana studio inaitwa TETEMESHA RECORD?ina maana hata mziki ukigoma studio pia hailipi?
Washauri wa makondaMtafukua sana makabuli
Baada ya kuwataja
In KONK KONK master we trust
Ha ha haaaKumbe jama bwege toka enzi zake
HahahahaAmefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.
source : clouds fm
Huyu ndo mshauri mkuu wa (MKUU) katika masuala yote yanayohusu urafiki wa kike (Ushoga).Watu mnamfukulia tu makaburi aisee
Kumbe ana laana ya mama yake ndio maana yanamtoka tu, halafu watu na akili zao wanamsikilizaAmefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.
source : clouds fm