Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Unajiamua mambo mkuu,au ndio katupa jiwe gizani ππila dudu kama hata kula nae hapo mbeleni yupo kuliwa. Alafu atadhalilishwa hivi hivi
Acha basi π π πAisee Mimi nilizani Azam ndio shida mambo ya kiufundiπ³Mpaka nikatoka Nje kula kitu walinikata Stimu
Ngoja nikumegee kidogo π₯± π₯± mkuu,mamba ana duka kubwa la nguo za jumla na reja rejaHuyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
ππππ Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Na hana njaaNgoja nikumegee kidogo π₯± π₯± mkuu,mamba ana duka kubwa la nguo za jumla na reja reja
Umaskini mkubwa ni kukosa afya njema, hata siku moja mali na pesa haijawahi kumtosha mtu. Msimamo wa Dudubaya ni wa kiume. Kwanza huyu Dimpoz unamuonaje ?Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
ππππ Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Keupe kalishafanya mambo yake.Zee la Bujora lina vibweka sana.Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.
Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.
Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.
Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.
Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?
Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?View attachment 3674295
Anauzaga t shirt za mamba ila sidhani kama ana discipline ya kuendesha biashara kubwa....yupo messed upNgoja nikumegee kidogo π₯± π₯± mkuu,mamba ana duka kubwa la nguo za jumla na reja reja
Linda mgongo wakoHuyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
ππππ Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Ommy Dimpoz mbona Hana tofauti na Diamond au Ali Kina, wote wanaume wa kijipamba tu...labda wote ni mashogaUmaskini mkubwa ni kukosa afya njema, hata siku moja mali na pesa haijawahi kumtosha mtu. Msimamo wa Dudubaya ni wa kiume. Kwanza huyu Dimpoz unamuonaje ?