Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,648
- 3,290
Mbona umepandisha key.... MadamWorship his holy name! Sing like never before ooh my soul..
Mbona umepandisha key.... MadamWorship his holy name! Sing like never before ooh my soul..
DuhLinda mgongo wako
Umenisikia?Mbona umepandisha key.... Madam
Imagination.... ila huyo mtoto anasauti mpaka inanichanganya!Umenisikia?
yeye anadai hajafuliaa na kuthibitisha hilo anasema alijipeleka India kutibiwa bila kuoma mchango kwa mtu yoyoteHuyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Sasa kuwa na duka kubwa la nguo za jumla na reja reja ndio umfananishe na Ommy? Hilo Linaonea wivu waliomzidi mafanikio.Ngoja nikumegee kidogo 🥱 🥱 mkuu,mamba ana duka kubwa la nguo za jumla na reja reja
Eti Hana njaa, story mnatoaga wapi? Wasio na njaa mnawajua lakini??Na hana njaa
Hivi huko Bahari beach kajenga au kapanga?
Kila mtu analinda kwa namna yake, hakuna kupangiana.Linda mgongo wako
Humpendi kabisa mzee wa keupe aka Mambazzz 24?Eti Hana njaa, story mnatoaga wapi? Wasio na njaa mnawajua lakini??
Ana hela ya kuandaa show? 😂😂😂Aandae shoo yake mwenyewe ili hayo mambo ayaseme vizuri. Hapo anaharibia wenzie
Mxxxieeew zake huyu. Kafulia kwa kila kitu, kuanzia uchumi, mwili hadi akili.yeye anadai hajafuliaa na kuthibitisha hilo anasema alijipeleka India kutibiwa bila kuoma mchango kwa mtu yoyote
Sawa, tuachane na akili za dudubaya na kufulia kwake.Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Wala hata, napingana na kile anachokifanya.Humpendi kabisa mzee wa keupe aka Mambazzz 24?
Sasa dudubaya si anatakiwa aweke wazi uthibitisho wa ommy kuliwa. Au ni vipi?Sawa, tuachane na akili za dudubaya na kufulia kwake.
Je, ni kweli ommy dimpoz analiwa au ni ujinga tuu wa dudubaya?
Duniani kuna watu aina kwa aina.Utachosha ubongo wako ukiwafuatilia mambo yao.Wala hata, napingana na kile anachokifanya.
Kwamba hawezi kuafford milo 3?Eti Hana njaa, story mnatoaga wapi? Wasio na njaa mnawajua lakini??
Kumdhalilisha mwenzako ni uhuru? Mbn mpumbavu hivyo? Huyo dudubaya kuna kitu kinamwasha atapata anachotafuta huyo bwegeMsanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.
Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.
Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.
Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.
Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?
Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?View attachment 3674295