Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Hizo ni Earsays tu ndio maana watu wanajicontradict hapa,wengine eti walikuwa wanamgombania Merey Balhabou na wengine sijui tajiri wa Tanzanite Arusha yan hakuna hata mwenye uhakika..Sijui kwa huyo wa madini Arusha,ila kwa Merey Balhabou wa TIOT nakataa
Wa madini ni uhakika 100%. Kwa huyo mwingine sina uhakika.
 
Mmeanza, leo mtatafuta kila clip, ili kumtetea huyo kichaa wenu.
😂😂😂
We kubali tu, Emmanuel Macron kaoa mwanaume na kama anachati na Ommy Dimpoz hoja ya Dudu Baya ndio inazidi kupata uzito.
 
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.

Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.

Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.

Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?

Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?
YBWYB - This is mamba 24
 
Halafu hoja za wengi sasa eti kwanini Ommy anakula bata la kushato na kazi ya maana hana, yaan wanataka kila mtu ahenyeke km wao.
Sijui wabongo wamerogwa na nani, Lol
Hakuna wanalolijua, OMMY ana mkataba na GSM wa kuandaa matangazo..!!

Sasa na wao watafute cha kufanya mjini sio kelele nyingi za chura..!!
 
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.

Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.

Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.

Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?

Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?
Huyo aliyezima mic naye ni *****; anainamishwa kwa Dimpoz anavyopumuliwa.
 
Back
Top Bottom