Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Wao wamsifie kuhusu kulewa na kutukana huyo kichaa mwenzao sio kuharibu brand za watu..!!

Watu wanawekeza muda na pesa kujibrand mpaka wanapata deals town..!
Yeye na visungura vyake anabwabwaja na wanywa michicha wenzake wanatetea ujinga..!!
Halafu hoja za wengi sasa eti kwanini Ommy anakula bata la kushato na kazi ya maana hana, yaan wanataka kila mtu ahenyeke km wao.
Sijui wabongo wamerogwa na nani, Lol
 
Nani hajui kuwa yeye na Mr nice walikua wana share muarabu alikua boss Wa moro united. Na aliwekeza nini kule Arusha.

Lina jistukia hilo lizee, limeshindwa kujikubali basi linaleta hasira kwa wengine.
Mxxxiiiieeew
Unasema🙄🙄🙄???
 
Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.

Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.

😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Mkuu huyo Dimpoz mwenyewe amekaa kikekike tu ni vile tu sio ndugu yako anakera sana basi tu, kataa mashoga kwa nguvu zote
 
Nani hajui kuwa yeye na Mr nice walikua wana share muarabu alikua boss Wa moro united. Na aliwekeza nini kule Arusha.

Lina jistukia hilo lizee, limeshindwa kujikubali basi linaleta hasira kwa wengine.
Mxxxiiiieeew
Merey balhabou!!?Si kweli!! Nilidhani siku zote wewe una taarifa za uhakika kuhusu hizi ishu kumbe nyingine unasikiliza story za vijiwe vya kahawa..Kuhusu Merey Balhabou na familia yake ni watu nnaowatambua kindakindaki Baba yangu mzazi na baba yangu mkubwa walikuwa bussiness Partners wa Merey Balhabou na ndugu zake kina Mohamed,Fathiya na TIOT yao miaka ya 1990s,na hata Mwijaku yule popoma alikuwa na urafiki na moja ya wajukuu wa Merey Balhabou enzi hizo sijui sasa..Ninachotaka kukwambia ni kuwa hiyo scandal ya kuwatifua mtaro hao wasanii uliowataja ni uongo na urban legend iliyokuwa inasambaa tu na ni kweli Balhabou alikuwa anatoa misaada sana kwa wasanii hao kina AY,Mr Nice,Afande Sele sijajua kwa Dudubaya lakini hakuwa anawafira hii ni ukweli..Ila kitu ambacho nina uhakika nacho ni kuwa sisi tunaomjua Dudubaya enzi zile anazururazurura Tegeta kabla hajaenda Wasafi aliwah kumtatua rinda kwa nguvu kijana mmoja wa mtaani maeneo ya Tegeta hii tunaikaushia tu lakn tunashangaa anavyotumia nguvu kubwa (japokuwa hii nguvu inapaswa kutumiwa) kupambana na mashoga ingali yeye nwenyewe aliwahi kujihusisha na ushoga
 
Balaa... ina maana kaliwa na watu wawili kwasababu tajiri wa madini naye alikuwa anatafuna.
Hizo ni Earsays tu ndio maana watu wanajicontradict hapa,wengine eti walikuwa wanamgombania Merey Balhabou na wengine sijui tajiri wa Tanzanite Arusha yan hakuna hata mwenye uhakika..Sijui kwa huyo wa madini Arusha,ila kwa Merey Balhabou wa TIOT nakataa
 
Wengi hamn taarifa za uhakika
Cha msingi kama humjui mtu na haujawahi kumuona with ur naked eyes just shut up.....
Ila tujaribu kuhoji yale ya nje tu labda zile dalili zinazotafsiri tofauti lakini sio kujimaliza kabisa....
 
Back
Top Bottom