Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Sahivi unaambiwa anachati na kikwete, utadhani huyo ommy hachati na kikwete, wakati ommy hadi Rais wa 🇫🇷 anapiga nae story tena sio kwa simu, ni live.
😂😂😂
😹😹😹😹 Ommy dimpo sio kuchat bali kwa KIKWETE ni kama family friend kwake..!!
Anaingia na kutoka msoga kama anaenda toi..!!

Mamba anachat na kikwete au kiwete?
Em wasichangnye spelling kwanza..!! 😹
 
Mashoga wote lazima mtetee mambo haya wewe ni msagaji na masagaji tunayapinga kwa nguvu zote kwa jina la baba na la mwana kupitia Yesu Kristo Muhammad amina
😂😂😂 mabwakuu.
 
😹😹😹😹 Ommy dimpo sio kuchat bali kwa KIKWETE ni kama family friend kwake..!!
Anaingia na kutoka msoga kama anaenda toi..!!

Mamba anachat na kikwete au kiwete?
Em wasichangnye spelling kwanza..!! 😹
😂😂😂 uduguu niachee, niko hoi hapa mbavu sina mwenzio.
Yaani wafuasi wa kichaa. Wanakuja na hoja zinazochekesha mnoo.
Khaaah
 
Ushafumuliwa marinda wewe umeshindwa kulinda mgongo pako wazi
Mi nikifumuliwa wewe unaumia nini?
Shida ya ukoo wenu imekuwa imeisha?

Mumeo ataishi na wewe milele bila kukusaliti? Vipi kuna relief unapata na msoto wa maisha? 😹
 
Wewe masagaji na mashoga ndio mamtu yako, Macron ni nani sasa? Anapiga picha na kila kiumbe na sio picha tu hata makofi anapigwa na mkewe hadi na raia MSAGAJI WEWE
Kisukari kiko juu mwaego? Ama ni gani?. Em relaax.
Alooooh!! 😂😂
 
Mi nikifumuliwa wewe unaumia nini?
Shida ya ukoo wenu imekuwa imeisha?

Mumeo ataishi na wewe milele bila kukusaliti? Vipi kuna relief unapata na msoto wa maisha? 😹
😂😂😂 uduguu basi, plz kwamba niajee??
Uwiiiiih.
 
😂😂😂 uduguu niachee, niko hoi hapa mbavu sina mwenzio.
Yaani wafuasi wa kichaa. Wanakuja na hoja zinazochekesha mnoo.
Khaaah
Wao wamsifie kuhusu kulewa na kutukana huyo kichaa mwenzao sio kuharibu brand za watu..!!

Watu wanawekeza muda na pesa kujibrand mpaka wanapata deals town..!
Yeye na visungura vyake anabwabwaja na wanywa michicha wenzake wanatetea ujinga..!!
 
Hakuna zaidi ya Pesa, usilete uongo hapa, tunaona kila siku hao wanaume lijari mnaowasema wanakuja jf hapa kuomba misaada na hamuwapi, tena hizo nyuzi mnazipita km hamzioni, sana mnaishia kusema wafanye kazi, wakisema muwape basi hizo kazi mnapoteana.

Waja kwa unafiki siwawezi, 😂😂😂
Kuna kazi za kung'oa visiki na kuponda kokoto hawataki
 
😂😂😂 uduguu basi, plz kwamba niajee??
Uwiiiiih.
Hao machizi kwa akili zao finyu hawaoni kama wanamuharibia mwenzao kuharibu brand yake kwa kumtetea mnywa visungura mwenzao..!

Ukiwaambia wanakimbilia kukuita shoga ili wapone maumivu ya kuwa maskini..!
Wanaacha kutafuta kazi wana kazi ya kudiss wengine. Wakiambiwa walete ushahidi wanajichekesha kama mataahira..!!

Mimi Ommy simpendi lakini linapokuja suala la kuharibiana ugali huwa nakuwa mkali.
Mtu anapambana atoke kwenye umaskini wao wanataka kumchafua awe kapuku kama wao..!!
 
Hivi kwanini kila kesi lazima muhusishe visungura

Shida iko wapi
 
Pombe za watu waliojikatia tamaa..! 😹
Sio kweli

Sie wapiga liko geniun tuna test ambayo haipotei

Vile kama rapa na beat.!

Kuna wakati kisungura kinakuwa salama kuliko hayo ya kwenye mavyupa
 
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.

Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.

Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.

Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?

Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?
Hii mental case ipelekwe mirembe Sio majukwaani
 
Dimpoz mwanangu sana na anapenda sana kukaa kwenye Bnb zangu kule Zanzibar, nilishawahi kuleta uzi kuhusu lifestyle yake na izo claims za kuwa yeye ni shoga ila nilishambuliwa sana.

Honestly sina uhakika kama anamegwa ila sifikiri kama kuna msanii anaongoza kwa kumiliki pisi kali hapa Bongo kupita Ommy Dimpoz.

Mimi ni Team Mambazz 24 ila mliokaribu nae mshaurini apunguze bangi
Bado anafanya kazi za Graphic design na GSM?
 
Hao machizi kwa akili zao finyu hawaoni kama wanamuharibia mwenzao kuharibu brand yake kwa kumtetea mnywa visungura mwenzao..!

Ukiwaambia wanakimbilia kukuita shoga ili wapone maumivu ya kuwa maskini..!
Wanaacha kutafuta kazi wana kazi ya kudiss wengine. Wakiambiwa walete ushahidi wanajichekesha kama mataahira..!!

Mimi Ommy simpendi lakini linapokuja suala la kuharibiana ugali huwa nakuwa mkali.
Mtu anapambana atoke kwenye umaskini wao wanataka kumchafua awe kapuku kama wao..!!
Kichaa kinacho msumbua ni hataki kukubali ukweli, kuwa mda wake umepita, na hakuwekeza.

Mbona wenzake wako buzzy na mitikasi yao, yeye nini kinachomsumbua km sio Ukichaa.
 
Back
Top Bottom