Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
YBWB
😜😜😜Upo makiniUmesema?
Apo wnajua wenyewe walimalizana vip Bado ujajibu ila umetoa maelezoNimesha jibu, huyo kichaa alijisalimisha mwenyewe kituoni, tena hata hakufatwa kwake, hayo ya kupimwa akili wanajua wao wahusika walimalizana vipi, km kweli yeye ni kiburi, si asinge jipeleka Polisi, angesubiri kufatwa halafu aone.
OctoberKwani El Nino inaanza lini?
Niliona aliahidi anampatia laki 5 dj choka na akatimiza ahadi...
Ana roho nzuri tu.. na pesa ya kula na kulewa anayo...
View: https://youtube.com/shorts/MPkr1jUh-Hk?si=azpG5iQrOj4ZjoKt
View: https://youtube.com/shorts/GWcLt6WkQxg?si=glHrYCIO6100arcl
Kwahiyo akichukizwa ndio awe anabwata hovyo majukwaani? Si achukue hatua madhubuti ya kukabiliana na hilo suala,Anachukizwa na hio tabia...
Si kila kitu unachofanya mwenye maisha utegemee kupata faida...
Inaweza kuwa hata ni sadaka kwa imani yake kukataza huo ushetani...
Kwani wewe ukitoa sadaka au kumsaidia mtu una faidika na nini?
Dudu Baya nilimfuatilia, ana biashara zake, mziki amebaki kufanya kama hobby...Hii Kuna mbwiga watakubishia japo umeweka na ushaid
Haya hebu jibu wewe, tuambie ni kwanini hakupimwa akili? Ili twende sawa.Apo wnajua wenyewe walimalizana vip Bado ujajibu ila umetoa maelezo
Watu wanaona walivyo na njaa bas kama wao,uyu Jamaa n kama nay wa mitego wanaishi maisha ya kweli sio maigizo alafu hawana timeDudu Baya nilimfuatilia, ana biashara zake, mziki amebaki kufanya kama hobby...
Umeulizwa ww toa majibu sio maelezoHaya hebu jibu wewe, tuambie ni kwanini hakupimwa akili? Ili twende sawa.
Ila kuwa fukara na maskini ni ufahari? Jamanii waja mbona mnachekesha sana.Ata uwe na pesa kiasi gani haziwezi kukupa sifa yoyote nzuri, kama umepoteza utu wako kama mwanaume.
Nimejibu km hivyo, nilidhani na nyie mna majibu kumbe hamna.Umeulizwa ww toa majibu sio maelezo
We ulitaka akemee huo ushenzi kwa kwenda kuwasaidia pampas hao shoga?Kwahiyo akichukizwa ndio awe anabwata hovyo majukwaani? Si achukue hatua madhubuti ya kukabiliana na hilo suala,
Waja mnanichekesha kweli, ushoga unapingwa kwa kubwatuka na kupayuka hovyo tu? Ndio maana nimesema hata hao anao watuhumu, wamempuuza ni Kichaa.
Na ukisoma alicho kisema Ommy ni sahihi kabisaa,
Apa Kaz ipo wallah 😅 😅Nimejibu km hivyo, nilidhani na nyie mna majibu kumbe hamna.
😂😂😂
Wewe ndio unatakiwa ujibu kuwa hakupimwa akili, kwa sababu hii na hii, kumbe hata mwenyewe hujui.Apa Kaz ipo wallah 😅 😅
Kwani huyo ommy ameomba pampasi kwake kichaa? Au yeye kichaa asaidiwe visungura na nyagi kutoka kwa ommy? LolWe ulitaka akemee huo ushenzi kwa kwenda kuwasaidia pampas hao shoga?
Hio ni movement kama ilivyo matumizi ya dawa za kulevya... hakuna kuonea mtu aibu...
Vinzela, vinyuki na cocktail mwitu..!! 😹😹😹Nakuambia, visungura, vitoko, na nyagi fake, eti nae ana hela, lol.
Mabwakuu, 😂😂
Anajiita mamba sauti ya kenge 😹😹😹Mie nachoka kabisaa, 😂😂😂
Nakuambia watu wanaokoteza vi clip uchwara kumpamba kichaa, eti ana hela.Vinzela, vinyuki na cocktail mwitu..!! 😹😹😹