Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Mbona hatoi huo ushahidi, anaishia kubwata tu, km mwendawazimu aliyetoroka Sober huko Milembe.
Atoe ushahidi pale ni mahakamani, yeye kasema kamaliza ,ukitaka ushahidi mfuate ukamuulize.. au mfungulie mashtaka..

Unafikiri huyo dimpoz kuishia kujibu kwenye social media hafahamu ukweli kujihusu?
 
Kwahiyo na wewe mkuu Unasapoti Usengerema wa vijana kuliwa ndogo? nani asiyejua dimpoz ni mbogamboga
Aidha nisapoti au nisisapoti sio shida, vijana wanaliwa ndogo kwa maamuzi yao na ni haki yao maana wana uhuru huo.

Nyie mnaojua mbona hamfanyi km hilo kichaa dudu, ili tuamini ukweli? Au huko kukaa kwenu kimya na nyie mnasapoti??

Waja bhana 😂😂😂
 
Huu ndio mwisho wake sasa
Atarudi Mwanza kuanza maisha
 
Ndiyo hivyo, linajihami hili lizee. Wakati watu wanalijua kitamboo tu ni li 🌈.
Hakuna kitu kama hiko...
Hizo tuhuma umekosa hoja, na watetezi wengi wa uchoko wakikosa hoja huanza kuwaita wanaowatuhumu nao ni wenzao...

Dudu Baya hawezi kufanya huo ushetani, uibilisi...
 
Atoe ushahidi pale ni mahakamani, yeye kasema kamaliza ,ukitaka ushahidi mfuate ukamuulize.. au mfungulie mashtaka..

Unafikiri huyo dimpoz kuishia kujibu kwenye social media hafahamu ukweli kujihusu?
Sasa hata km akisema, yeye anapata nini au anafaidika nini? Au huyo ommy anapungukiwa nini?

Ukichaa wake apeleke huko, wakati ni UKUTA, akubali akatae, muda wake umepita. Lol
 
Hakuna kitu kama hiko...
Hizo tuhuma umekosa hoja, na watetezi wengi wa uchoko wakikosa hoja huanza kuwaita wanaowatuhumu nao ni wenzao...

Dudu Baya hawezi kufanya huo ushetani, uibilisi...
Wala sina haja ya kumtuhumu, km ambavyo yeye anafanya, ili kujihami.
Hivyo tu.
 
Sasa hata km akisema, yeye anapata nini au anafaidika nini? Au huyo ommy anapungukiwa nini?

Ukichaa wake apeleke huko, wakati ni UKUTA, akubali akatae, muda wake umepita. Lol
Anachukizwa na hio tabia...
Si kila kitu unachofanya mwenye maisha utegemee kupata faida...

Inaweza kuwa hata ni sadaka kwa imani yake kukataza huo ushetani...

Kwani wewe ukitoa sadaka au kumsaidia mtu una faidika na nini?
 
Uongo hana hela, katafute wa kuwachota ila sio hapa.
😂😂😂
Umejuaje au alikula mzigo bila malipo
Ngoja nikurudishe nyuma kidogo
Unakumbuka kauli alitoa chafu ,waziri wa mambo ya mbo ya ndani akaagiza akamatwe na akapimwe ? Je maagizo ya waziri yalitekelezwa? Kama hayakutekelezwa why?
Think twice
 
Akikujibu Kwa hoja bila kubwabwaja n point nitag mkuu
 
Sibishan Kwa míhemko,ila Jamaa ad muhimbili wanamjua 😅😅
Dudu Baya hana njaa, pesa ya kula na pombe anayo, mengine sijui... ndio maana ana kiburi...

India kajipeleka kwa fedha zake.. wasanii wengi tu tunaona wanalia mtandaoni wakitaka mchango.. wanapougua..

Na it's obviously kama alikwenda India ina maana tatizo lake hospitals nyingi hazikuweza kumtibu...
 
Umejuaje au alikula mzigo bila malipo
Ngoja nikurudishe nyuma kidogo
Unakumbuka kauli alitoa chafu ,waziri wa mambo ya mbo ya ndani akaagiza akamatwe na akapimwe ? Je maagizo ya waziri yalitekelezwa? Kama hayakutekelezwa why?
Think twice
Kwani si alijisalimisha mwenyewe kituoni?
Ni think twice kwa huyo kichaa? Em huko.
 
Dudu Baya hana njaa, pesa ya kula na pombe anayo, mengine sijui... ndio maana ana kiburi...

India kajipeleka kwa fedha zake.. wasanii wengi tu tunaona wanalia mtandaoni wakitaka mchango.. wanapougua..

Na it's obviously kama alikwenda India ina maana tatizo lake hospitals nyingi hazikuweza kumtibu...
Kuna mtu et aliuliza garama za India kwn sh ngap sijui anazan kwenda India na kurud plas matibabu ni kama kwenda apo hospital ya mwananyamala🤪🤪
 
Akikujibu Kwa hoja bila kubwabwaja n point nitag mkuu
Nimesha jibu, huyo kichaa alijisalimisha mwenyewe kituoni, tena hata hakufatwa kwake, hayo ya kupimwa akili wanajua wao wahusika walimalizana vipi, km kweli yeye ni kiburi, si asinge jipeleka Polisi, angesubiri kufatwa halafu aone.
 
Back
Top Bottom