nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Oh! Sawa...Ni sawa na wanaume wengi wanawakula mashoga, ila sio wote.
Si ni hivyo au?
Oh! Sawa...Ni sawa na wanaume wengi wanawakula mashoga, ila sio wote.
Si ni hivyo au?
Thibitisha.Dah Pole kwa kuliwa
Kwako dudu bayaThibitisha.
😂😂😂Kwako dudu baya
Ilikuwa sahihi kabisa kuzimiwa mic. Huyu jamaa ana mental issueMsanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.
Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.
Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.
Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.
Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?
Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?
Unafahamu vipi kama hana ushahidi..?Ukitoa tuhuma zenye udhalilishaji, mtuhumu ndio mwenye burden of proof. So, kumuita mtu shoga unapaswa wewe mtuhumu ulete ushahidi wa ushoga, mfano Alete video ikionyesha jamaa anakazwa. Ila sio maneno matupu tu. Atalipa faini huyu.
Wewe unafahamu vipi ushahidi anao ama hana?Mbona walipo wakamata walitoa press kwa umma, kuwa wanapelekwa muhimbili kufanyiwa vipimo? Kwanini majibu wasiyatoe kwa umma pia? Sasa nikuambie tu walilipwa fidia hao wahusika, maana walichotaka kukifanya wao wakakataa, ilibidi wawape kitu wakae kimya.
Hoja ya kuitwa shoga anapaswa yule tu mwenye uthibitisho, na sio mtu mwingine, wala hakuna kukasirika hapo, huwezi kumuita mtu kitu usichokua na uhakika au uthibitisho, na sio kwamba hao anao watuhumu hawawezi kumchukulia sheria, ni wamempuuza wamemuona hana akili, ni kichaa,
Hata akisema hawezi kukaa na mashoga kwani hao mashoga wanataka kukaa nae? Mbona anajipa umuhimu kwenye maisha ya watu wasio muhusu? Ni kuchanganyikiwa au uwendawazimu. Lol
Balaa... ina maana kaliwa na watu wawili kwasababu tajiri wa madini naye alikuwa anatafuna.Nani hajui kuwa yeye na Mr nice walikua wana share muarabu alikua boss Wa moro united. Na aliwekeza nini kule Arusha.
Lina jistukia hilo lizee, limeshindwa kujikubali basi linaleta hasira kwa wengine.
Mxxxiiiieeew
Wewe unajua kuwa ushahidi anao?Unafahamu vipi kama hana ushahidi..?
Sasa mtu ataropoka mbele za watu akiwa anajiamini kipi? Kama hana ushahidi usiotia shaka?Wewe unajua kuwa ushahidi anao?
🤣. So pia huna hakika. Unafanya reasoning isiyo sahihi kabisa, ukiamini kuwa watu wote wana-act reasonably.Sasa mtu ataropoka mbele za watu akiwa anajiamini kipi? Kama hana ushahidi usiotia shaka?
Kwahiyo ndo ana pesa?Sasa utak unadhan garama kwanzia usafiri kula na matibabu kwenda India na kurud m rahisi ivyo,ukipata jibu pigia mstari apo mkuu😜😜
Shoga ni nani?Wanawake kwanini mnawapenda mashoga?
😹😹😹 Town kwa kujazana na kukuzana watu wapo vizuri..!!Pisi laki moja hata ungeenda kwa yule jamaa wa Room of Jeans hana.
Eti yule shogaako mwanahawa mpika vitumbua.Shoga ni nani?
Yeye kama anakemea akemee kimpango wake sio kutaja taja watu hovyo..!!Ukute yeye ndio analiwa, ila anajihami.
Maana mashoga wa sirini kwa kujihami wako vizuri.
Mwanahawa yupi?Eti yule shogaako mwanahawa mpika vitumbua.
Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Mtoto Coca cocastic nakugubali sana mwanetu.Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
😹😹😹 Wao waseme ana duka lake la uchuuzi inatosha..!!Sema wewe uduguu, mie nachoka kabisaa, 😂😂😂