Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.

Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.

Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.

Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?

Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?View attachment 3674295
Anadhalilisha watu, ashtakiwe...ni kweli tunapinga ushoga lakini kumdhalilisha mtu ambae hujawahi kumshuhudia akifanywa hivyo ni ujuha...anazidisha masifa, ashtakiwe
 
Mtu aliyeweza kuongea hadaharani kwa mwanae kwamba alimkaza mama yake kwenye treni ndo akazaliwa. Nyie mnamuona yuko timamu??

Yeye apige muziki watu waburudike habari za kusema mtu chakula yeye alimla?
Hakuna na ushahidi Hana,huyu kaka ni chizi.
Ana muharibia si ange mfata pembeni kama mtu na mdogo wake, yani kuwa na makaka kama hawa wenye akili za hapahapa mtihani sana
Anapenda sifa akiona watu anawehuka.
 
Ommy Dimpoz mbona Hana tofauti na Diamond au Ali Kina, wote wanaume wa kijipamba tu...labda wote ni mashoga
Uko sahihi.
Ommy Dimpoz walimuanzishia Zengwe baada ya kuonekana anasafiri sana kwenda ughaibuni watu wakaanza kumchimba na kuhoji anafanya biashara gani,yaani kibongobongo ukiwa na hela halafu biashara yako hujaiweka wazi watu wanakushuku vibaya
 
Mtu aliyeweza kuongea hadaharani kwa mwanae kwamba alimkaza mama yake kwenye treni ndo akazaliwa. Nyie mnamuona yuko timamu??

Yeye apige muziki watu waburudike habari za kusema mtu chakula yeye alimla?
Ukute yeye ndio analiwa, ila anajihami.
Maana mashoga wa sirini kwa kujihami wako vizuri.
 
Uko sahihi.
Ommy Dimpoz walimuanzishia Zengwe baada ya kuonekana anasafiri sana kwenda ughaibuni watu wakaanza kumchimba na kuhoji anafanya biashara gani,yaani kibongobongo ukiwa na hela halafu biashara yako hujaiweka wazi watu wanakushuku vibaya
Sio hivyo, wanasema hajawahi kuonesha mwanamke wake wala mtoto.
Wanamtilia shaka hapo.
 
Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.

Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.

😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Ndiyo hapo sasa watu wanayasahau mambo ya msingi yanayotokea kwa mustakabali wa taifa sembuse upuuzi, jamaa sometimes ana chuki zisizo na maana tu.
 
Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.

Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.

😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Haliko vibaya ki hivyo bwana!
 
Back
Top Bottom