Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Dimpoz mwanangu sana na anapenda sana kukaa kwenye Bnb zangu kule Zanzibar, nilishawahi kuleta uzi kuhusu lifestyle yake na izo claims za kuwa yeye ni shoga ila nilishambuliwa sana.

Honestly sina uhakika kama anamegwa ila sifikiri kama kuna msanii anaongoza kwa kumiliki pisi kali hapa Bongo kupita Ommy Dimpoz.

Mimi ni Team Mambazz 24 ila mliokaribu nae mshaurini apunguze bangi
 
Wabongo wamsingizie Ommy kwanini?

Ommy ana nini hadi asingiziwe jambo asilolitenda?

Kwanini wasimsingizie Mr Blue?
 
Dimpoz mwanangu sana na anapenda sana kukaa kwenye Bnb zangu kule Zanzibar, nilishawahi kuleta uzi kuhusu lifestyle yake na izo claims za kuwa yeye ni shoga ila nilishambuliwa sana.

Honestly sina uhakika kama anamegwa ila sifikiri kama kuna msanii anaongoza kwa kumiliki pisi kali hapa Bongo kupita Ommy Dimpoz.

Mimi ni Team Mambazz 24 ila mliokaribu nae mshaurini apunguze bangi
Nashangaa mnaoshangaa kinachosemwa
 
Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.

Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.

😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Tatizo naye ana skendo ya kugombea basha.
 
Back
Top Bottom