Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.

Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.

Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.

Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?

Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?
Hatari sana.
Raha ya mwanaume kutafuna 😂😂 siyo kutafunwa 🫢
 
Hii ni defamation ya wazi kabisa na kukosa uungwana. Kuna siku huyu jamaa ataburuzwa mahakamani, na kulipishwa fine nadhani atajifunza mipaka ya usemaji.
 
ishu imekaa kimtego hiyo. OMMY akisema aende kumshtaki kisha ampeleke mahakamani jamaa akiambiwa athibitishe, Ommy aende kwa dokta afu akutwe hana marinda kweli hahahaha
 
Sijui yukoje huyu, ana wivu tokeapo wala sio mgeni huyu, Lol
Acheni kutetea mashoga kisa wote mpo kundi moja...

Wasanii wangapi wanamzidi mafanikio Dudu Baya hajawaonea wivu?

Dudu Baya anaifahamu industry vyema... na mnaosema hilo suala liende kisheria unaweza shangaa kwa huyo Dimpoz kinamlamba...

Ndio maana huyo jamaa anataja hao mashoga na hawana la kumfanya sababu ana uhakika...

Hata wewe hapo mtu akikuita shoga , ukijitia kufuata sheria umshitaki utapelekwa tu kwenye kipimo cha tezi dume wakute marinda yalishapotea... Sasa hapo alisema we ni shoga anakuwa amekosea? Atafungwa? Kwa sheria ipi?

Huyo Dimpoz atakaa kimya tu... hana la kufanya, labda ajiongeleshe kwenye social media halafu inaisha hivyo...

Kwanza mwanaume anajiitaje Dimpoz?

Ni chakula Ndio, si uongo...
 
ishu imekaa kimtego hiyo. OMMY akisema aende kumshtaki kisha ampeleke mahakamani jamaa akiambiwa athibitishe, Ommy aende kwa dokta afu akutwe hana marinda kweli hahahaha
Ndicho nilikuwa nashangaa watu wanasema eti atafunguliwa mashtaka...

Huyo Dudu Baya yupo kwenye industry muda sana.. anawafahamu wasanii maisha yao nje ya maisha ya kisanii...

Ndio maana toka aanze kutaja lists za celebrity hakuna anayejitokeza kwenda kumshtaki.. na huyo Dudu Baya sio kwamba anasema kisa kalewa ila anasema ukweli, pombe hapo inampa tu ujasiri...
 
Ben pol je?
 
Dimpoz mwanangu sana na anapenda sana kukaa kwenye Bnb zangu kule Zanzibar, nilishawahi kuleta uzi kuhusu lifestyle yake na izo claims za kuwa yeye ni shoga ila nilishambuliwa sana.

Honestly sina uhakika kama anamegwa ila sifikiri kama kuna msanii anaongoza kwa kumiliki pisi kali hapa Bongo kupita Ommy Dimpoz.

Mimi ni Team Mambazz 24 ila mliokaribu nae mshaurini apunguze bangi
Taja hata pisi Moja Kali anayomiliki hapa bongo then nitakwambia jambo.
 
Acheni kutetea mashoga kisa wote mpo kundi moja...

Wasanii wangapi wanamzidi mafanikio Dudu Baya hajawaonea wivu?

Dudu Baya anaifahamu industry vyema... na mnaosema hilo suala liende kisheria unaweza shangaa kwa huyo Dimpoz kinamlamba...

Ndio maana huyo jamaa anataja hao mashoga na hawana la kumfanya sababu ana uhakika...

Hata wewe hapo mtu akikuita shoga , ukijitia kufuata sheria umshitaki utapelekwa tu kwenye kipimo cha tezi dume wakute marinda yalishapotea... Sasa hapo alisema we ni shoga anakuwa amekosea? Atafungwa? Kwa sheria ipi?

Huyo Dimpoz atakaa kimya tu... hana la kufanya, labda ajiongeleshe kwenye social media halafu inaisha hivyo...

Kwanza mwanaume anajiitaje Dimpoz?

Ni chakula Ndio, si uongo...
Tatizo lako wewe kujifanya una ufahamu sana kuliko wenzio, halafu taratibu huzijui.

Noel na Aggrey walienda kupimwa muhimbili, mbona majibu hawajayatoa? Maana km mtu amemuingilia inatakiwa atafutwe muingiliaji.

Sio kwamba hawawezi kumshitaki ni vile wamempuuza tu, kichaa huyo.
Afu umeniingiza mie tena? Hakuna mtu huku uraiani akaniita shoga, nitamnyoosha hadi ajute kunifahamu, sichezewi mie. Oooh.
 
Hii ni defamation ya wazi kabisa na kukosa uungwana. Kuna siku huyu jamaa ataburuzwa mahakamani, na kulipishwa fine nadhani atajifunza mipaka ya usemaji.
Majibu yako haya hapa chini
ishu imekaa kimtego hiyo. OMMY akisema aende kumshtaki kisha ampeleke mahakamani jamaa akiambiwa athibitishe, Ommy aende kwa dokta afu akutwe hana marinda kweli hahahaha
 
Changamoto Kuzaa Mtoto Wa Kiume Halafu Anasema Vile Inaumiza Jamii, Wazazi, Ndugu Marafiki
 
Tatizo lako wewe kujifanya una ufahamu sana kuliko wenzio, halafu taratibu huzijui.

Noel na Aggrey walienda kupimwa muhimbili, mbona majibu hawajayatoa? Maana km mtu amemuingilia inatakiwa atafutwe muingiliaji.

Sio kwamba hawawezi kumshitaki ni vile wamempuuza tu, kichaa huyo.
Afu umeniingiza mie tena? Hakuna mtu huku uraiani akaniita shoga, nitamnyoosha hadi ajute kunifahamu, sichezewi mie. Oooh.
Vita yenu haiishagi😁
 
Majibu yako haya hapa chini
Ukitoa tuhuma zenye udhalilishaji, mtuhumu ndio mwenye burden of proof. So, kumuita mtu shoga unapaswa wewe mtuhumu ulete ushahidi wa ushoga, mfano Alete video ikionyesha jamaa anakazwa. Ila sio maneno matupu tu. Atalipa faini huyu.
 
Back
Top Bottom