Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,909
- 16,916
Kweli kabisaa ana hasira na waliofanikiwaHuyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.