Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Wana akili za kimaskini hao, biashara hawazijui mtu akiwa na vi Michele kilo tano sembe na visukari vya pakti washampa jina mfanya biashara mkubwa, ni Bora ukaishia porini kuliko kuishi na fukara, fukara akiona mambo yanakuendea vizuri ni kosa kwake, atazusha kila jambo ili tu ajiriwaze mpo pamoja
😹😹😹 Mtu anauza Tshirt 2 tayari ana maduka ya kuuza nguo jumla.!!
 
Wewe hana maisha huyo, em acha kumpamba, nyumba hana wala hilo duka mnalosema halipo.
Mtu anaonesha wazi yuko desperate na mental illness, iliyochanganyikana na depression, afu mtuletee uongo wenu hapa.

Mumpeleke milembe huyo, km hela hana watu tutachangia akae sober huko.
Hana shida na pesa ndo mana maisha yake yanaenda ata akiugua na kutakiwa kwenda nje ya nchi hapitishi bakuli huo ndo ukweli 😅 😅
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja....
20250105_222825.jpg
 
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.

Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.

Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.

Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?


Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?
NI MJINGA TU NADHANI AMEPITILIZA UNAMSEMA MTU KAMA UYO MBELE YA WATU KWANI WALE WASANII WENZIE HAWAJUI HILO ?


NA KAMA WANAJUA KWANINI QNASHIRIKIANA NAO KWA SABABU YEYE ANA MSIMAMO TOFAUTI NA WENZIE, KWANINI ANASHIRIKI NAO NA KWANI TAMASHA HUFANYWA BILA WASANII KUKAA KWENYE VIKAO NA KUJUA NANI ATAKUWEPO NA NINI KISIFANYIKE?
 
Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.

Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.

😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Kwahiyo na wewe mkuu Unasapoti Usengerema wa vijana kuliwa ndogo? nani asiyejua dimpoz ni mbogamboga
 
😹😹😹 Town kwa kujazana na kukuzana watu wapo vizuri..!!
Wauzaji wa jumla wenyewe wametulia wanaangalia tu..!!

Eti dudu naye muuzaji wa jumla 😹😹
Yaani 😂😂😂
 
Yeye kama anakemea akemee kimpango wake sio kutaja taja watu hovyo..!!

Anaharibu brand za watu, ana nikataka ya kufanya kazi. Sasa kashfa kama hizo kwa wenzie na hana ushahidi ni upuuzi..!!
Ni kichaa yule, ndio maana wamempuuza.
 
😹😹😹 Wao waseme ana duka lake la uchuuzi inatosha..!!

Mtu kaweka vi-Tshirt vyake vya MAMBA piece 100 tayari anaitwa tajiri wa kujumlisha nguo..!! Mtsiewwww 😹
Mie nachoka kabisaa, 😂😂😂
 
Mtu anashindia visungura awe na maduka ya jumla. Atupe location tukajumue wateja..!!
Nakuambia, visungura, vitoko, na nyagi fake, eti nae ana hela, lol.
Mabwakuu, 😂😂
 
Back
Top Bottom