Dudu baya, Mtoto wako Wile yupo na hali mbaya jaribu kumuokoa anateketea .

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Familia ya dudu baya (msanii) mtoto wenu anaitwa Wille Yupo analala nje coco beach amedata

Kwa kulinda privacy sitoweka Picha yake .

Huyu Kijana anatumia Bangi, Pombe , na uchafu mwingine

Amedata kiakili analala Nje , mchafu hana nguo , akili haifanyi kazi .

Unfortunately Baba yake anapitia kipindi kigumu cha kiuchumi .

Nadhani something is wrong.
 
Ila Dudu Baya alimpenda sana huyo mwanae Wille, katika ngoma zake nyingi kabla hajachuja lazima katika verse amtaje huyo dogo.

Naskia baada ya kuzinguana na mzazi mwenzake, dogo akawa analishwa sumu za kutosha na maza ake ndipo Dudu akaamua na yeye amkache tu. Ni story ndefu kiaina.
 
Familia ya dudu baya (msanii) mtoto wenu anaitwa Wille Yupo analala nje coco beach amedata

Kwa kulinda privacy sitoweka Picha yake .

Huyu Kijana anatumia Bangi, Pombe , na uchafu mwingine

Amedata kiakili analala Nje , mchafu hana nguo , akili haifanyi kazi .

Unfortunately Baba yake anapitia kipindi kigumu cha kiuchumi .

Nadhani something is wrong.
Baba yake si alienda kuombewa kwa Mwamposa? Ampeleke na mwanaye tukaone sasa ile miujiza.
 
Familia ya dudu baya (msanii) mtoto wenu anaitwa Wille Yupo analala nje coco beach amedata

Kwa kulinda privacy sitoweka Picha yake .

Huyu Kijana anatumia Bangi, Pombe , na uchafu mwingine

Amedata kiakili analala Nje , mchafu hana nguo , akili haifanyi kazi .

Unfortunately Baba yake anapitia kipindi kigumu cha kiuchumi .

Nadhani something is wrong.
Amedata kiakili analala Nje , mchafu hana nguo , akili haifanyi kazi .😭😭😭
 
Mewahi mkuta Dudu Baya maeneo ya kawe hapoo, alizoea kaa baa ilovunjwa kabla ya mzunguko wa kuelekea kawe ama rainbow ukiwa unatokea mikocheni kwa nyerere.
Sikuamini macho yangu.
Baba anahitaji msaada na mtoto anahitaji kusaidiwa
Tuwape farajaa - ujana maji motoo
 
Back
Top Bottom