BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
eti anaimbaje?Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi?
Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu.
Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga?
Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa ngonjera na vibwagizo vya sijui ati "watch your back"?
Tangu lini vibwagizo vikaangamiza ushoga? Hivi hicho ni kibwagizo au kauli mbiu?
Huyu ngiri mwenye mandevu amefika mahala anatukana kila mtu mpaka kiasi hata cha kumdhihaki Waziri wa nchi kwa kisingizio cha ati anaangamiza ushoga!
Huu ni wakati sasa huyu ngiri mwenye mandevu abinywe kweli kweli mpaka ashike adabu.
Mziki umemshinda kabaki na vibwagizo visivyo na hoja wala mikakati.
Na vile hata mimi nashangaa kwanza ilikuwaje mpaka akawa msanii?
Hii inazungumza mengi sana kwamba hata mbumbumbu asiye na kipaji chochote anaweza kuwa msanii miongoni mwa wajinga.
Mimi hata sizijui nyimbo zake. Anaimba takataka tu mara sijui nakupenda bibi kizee sijui kikongwe.
Huyu ngiri mwenye mandevu abananishwe mpaka aache ndala.
Akataliwe na watu wote wenye akili timamu kama vile alivyokataliwa mbinguni, duniani, na kwenye tasnia ya mziki.
Naitwa! Mamba! Dudu Baya, Oil chafu
Eti nakupenda bibi kizee, nakupenda kikongwe!eti anaimbaje?
Watch your back, fella!Mzee wa Bujora is coming to you fiercely!Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi?
Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu.
Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga?
Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa ngonjera na vibwagizo vya sijui ati "watch your back"?
Tangu lini vibwagizo vikaangamiza ushoga? Hivi hicho ni kibwagizo au kauli mbiu?
Huyu ngiri mwenye mandevu amefika mahala anatukana kila mtu mpaka kiasi hata cha kumdhihaki Waziri wa nchi kwa kisingizio cha ati anaangamiza ushoga!
Huu ni wakati sasa huyu ngiri mwenye mandevu abinywe kweli kweli mpaka ashike adabu.
Mziki umemshinda kabaki na vibwagizo visivyo na hoja wala mikakati.
Na vile hata mimi nashangaa kwanza ilikuwaje mpaka akawa msanii?
Hii inazungumza mengi sana kwamba hata mbumbumbu asiye na kipaji chochote anaweza kuwa msanii miongoni mwa wajinga.
Mimi hata sizijui nyimbo zake. Anaimba takataka tu mara sijui nakupenda bibi kizee sijui kikongwe.
Huyu ngiri mwenye mandevu abananishwe mpaka aache ndala.
Akataliwe na watu wote wenye akili timamu kama vile alivyokataliwa mbinguni, duniani, na kwenye tasnia ya mziki.
Unapinga ushoga kwa vibwagizo?Kama wewe ni shoga ni lazima umchukie Dudubaya.
Vile kama wewe siyo shoga na unapinga ushoga. Utamuunga mkono Mamba24
Dakika ya 44 kipindi cha kwanza , tunacheza pungufu...😆😆😆😆Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi?
Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu.
Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga?
Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa ngonjera na vibwagizo vya sijui ati "watch your back"?
Tangu lini vibwagizo vikaangamiza ushoga? Hivi hicho ni kibwagizo au kauli mbiu?
Huyu ngiri mwenye mandevu amefika mahala anatukana kila mtu mpaka kiasi hata cha kumdhihaki Waziri wa nchi kwa kisingizio cha ati anaangamiza ushoga!
Huu ni wakati sasa huyu ngiri mwenye mandevu abinywe kweli kweli mpaka ashike adabu.
Mziki umemshinda kabaki na vibwagizo visivyo na hoja wala mikakati.
Na vile hata mimi nashangaa kwanza ilikuwaje mpaka akawa msanii?
Hii inazungumza mengi sana kwamba hata mbumbumbu asiye na kipaji chochote anaweza kuwa msanii miongoni mwa wajinga.
Mimi hata sizijui nyimbo zake. Anaimba takataka tu mara sijui nakupenda bibi kizee sijui kikongwe.
Huyu ngiri mwenye mandevu abananishwe mpaka aache ndala.
Akataliwe na watu wote wenye akili timamu kama vile alivyokataliwa mbinguni, duniani, na kwenye tasnia ya mziki.
Ila, msukuma Mambazzz anapenda sifa kama wajomba zake wahaya.Unapinga ushoga kwa vibwagizo?
Whatever ilimradi tu hivyo vibwagizo vina ujumbe wa kupinga ushoga hilo halina problemUnapinga ushoga kwa vibwagizo?
Ujumbe?Whatever ilimradi tu hivyo vibwagizo vina ujumbe wa kupinga ushoga hilo halina problem
Hana point kabisa huyu ngiri, Kabaki kufuga mandevu tu na kuwafokea wote waliomzidi sasampa.Naitwa! Mamba! Dudu Baya, Oil chafu
Konki, konki, konki master
Walisha nibania na sichoki (konki)
Nang’ang’ania na sitoki (konki)
Na hiti hata kama si promote (konki)
Kwenye list nakutaja siogopi (konki)…
Hoja haina mashiko kabisa.Vijana mnaopigwa pumb a.k.a machoko huyo jamaa ni adui yenu mkuu
YBWYBHana point kabisa huyu ngiri, Kabaki kufuga mandevu tu na kuwafokea wote waliomzidi sasampa.
Hakuna hasira yoyotee.Mliochanwa migongo muna hasira sana na oil chafu