Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

Mashoga wana umoja sana maana sio kwa kumponda Mambaz huko IG Mashoga yamejitokeza waz waz kumshambulia Mamba, kikubwa ujumbe umefika linda mgongo wako hali ni mbaaaya
 
Pambania mkuu akamatwe haraka kabla hajakutaja jina lako.

This is mamba 24 better watch your back.
 
Mashoga wana umoja sana maana sio kwa kumponda Mambaz huko IG Mashoga yamejitokeza waz waz kumshambulia Mamba, kikubwa ujumbe umefika linda mgongo wako hali ni mbaaaya
Mtu mjinga lazima ashambuliwe kila kona asije kuambukiza wengine ujinga wake.
 
Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi?

Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu.

Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga?

Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa ngonjera na vibwagizo vya sijui ati "watch your back"?

Tangu lini vibwagizo vikaangamiza ushoga? Hivi hicho ni kibwagizo au kauli mbiu?

Huyu ngiri mwenye mandevu amefika mahala anatukana kila mtu mpaka kiasi hata cha kumdhihaki Waziri wa nchi kwa kisingizio cha ati anaangamiza ushoga!

Huu ni wakati sasa huyu ngiri mwenye mandevu abinywe kweli kweli mpaka ashike adabu.

Mziki umemshinda kabaki na vibwagizo visivyo na hoja wala mikakati.

Na vile hata mimi nashangaa kwanza ilikuwaje mpaka akawa msanii?

Hii inazungumza mengi sana kwamba hata mbumbumbu asiye na kipaji chochote anaweza kuwa msanii miongoni mwa wajinga.

Mimi hata sizijui nyimbo zake. Anaimba takataka tu mara sijui nakupenda bibi kizee sijui kikongwe.

Huyu ngiri mwenye mandevu abananishwe mpaka aache ndala.

Akataliwe na watu wote wenye akili timamu kama vile alivyokataliwa mbinguni, duniani, na kwenye tasnia ya mziki.

DAAAH NYIE MNAZIDI KUONGEZEKA TU. HATUTAACHA KUWAPIGA VITA HATA KAMA MTAANZISHA VITA NA DUDU BAYA
 
Yu BELLA WHATCH YOUR BACK 😊 😁😁😁

NB. Jamaa kazidi ndio ile tabia ya kijana akiwa anaendesha baiskeli akifika centa akaona watu wengi wengi ana achia mikono
 
Back
Top Bottom