Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,714
- 4,074
Anatafuta Kiki tu!
Ahhahaaaa mshamba sana huyu.Watch your back, fella!Mzee wa Bujora is coming to you fiercely!
Sawa lakini asitukane watu.Hizi hasira zina sababu...
Bela wochi yo baki meeni.
Sana, halafu nashangaa kuna watu wanamuona kama shujaa fulani hivi!Anatafuta Kiki tu!
Kwa sonona iliyojaa nchini,bora tu zee la keupe liwe linasumbuasumbua tuchangamke.Ahhahaaaa mshamba sana huyu.
Unaungana na punga mwenzakoeti anaimbaje?![]()
Sawa tu lakini ujumbe ndio huo.Yoyote anayempinga konki huyo ni ***** na hana malinda
Hasira zake za kufeli mziki anazimalizia kwa watu waliobarikiwa.Dudu anawachachafya sana, atapishwe tu atapike anayoyajua. Kuna vitu anavijua huyu mjuba, aachwe atapike, hata kunya anye kabisa, tena uharo, wenye kuona kinyaa waone, wenye kuchefukwa wachefuke hadi watapike nyongo. Dudu anawajua mashoga konk walijikita kwenye musiki muacheni aropoke tani yake
Mbona umeandika kwa uchungu sana na unaoneka una hasira kuliko hata hao ambao wamewahi kutajwa na Dudu Baya? Ama wewe ni ndugu moja na yule aliyetajwa na Dudu Baya? Namaanisha wewe na aliyetajwa yaani ni familia moja?Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi?
Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu.
Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga?
Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa ngonjera na vibwagizo vya sijui ati "watch your back"?
Tangu lini vibwagizo vikaangamiza ushoga? Hivi hicho ni kibwagizo au kauli mbiu?
Huyu ngiri mwenye mandevu amefika mahala anatukana kila mtu mpaka kiasi hata cha kumdhihaki Waziri wa nchi kwa kisingizio cha ati anaangamiza ushoga!
Huu ni wakati sasa huyu ngiri mwenye mandevu abinywe kweli kweli mpaka ashike adabu.
Mziki umemshinda kabaki na vibwagizo visivyo na hoja wala mikakati.
Na vile hata mimi nashangaa kwanza ilikuwaje mpaka akawa msanii?
Hii inazungumza mengi sana kwamba hata mbumbumbu asiye na kipaji chochote anaweza kuwa msanii miongoni mwa wajinga.
Mimi hata sizijui nyimbo zake. Anaimba takataka tu mara sijui nakupenda bibi kizee sijui kikongwe.
Huyu ngiri mwenye mandevu abananishwe mpaka aache ndala.
Akataliwe na watu wote wenye akili timamu kama vile alivyokataliwa mbinguni, duniani, na kwenye tasnia ya mziki.
Sawa waambie majaji...Sawa lakini asitukane watu.
Ajikite na kipaji chake kilichokufa.
ana ghadhabu na mashoga yaliyoko kwenye tasnia ya muziki na utangazaji, acheni aropoke nyoka watoke mapangoniAnatafuta Kiki tu!