mwaibile
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,136
- 5,175
Jiwe gizani limempata mtu huku wadau huyu ni pure hana malinda siyo wakubishanaeSawa tu lakini ujumbe ndio huo.
Aache kiherehere.
Jiwe gizani limempata mtu huku wadau huyu ni pure hana malinda siyo wakubishanaeSawa tu lakini ujumbe ndio huo.
Aache kiherehere.
Hiyo ghadhabu angejishushia mwenyewe enzi hizo anaendekeza mibange na usela mavi! Asituchosheana ghadhabu na mashoga yaliyoko kwenye tasnia ya muziki na utangazaji, acheni aropoke nyoka watoke mapangoni
Ahahahahaahaa konki asiye na kipaji.Nakopenda mpenzi usiopenda chapa,
Nakopenda mpenzi usiopenda Dooh
Tikisa shori wa kweli
Tikisa manzi wa kwelii![]()
Hii sio hoja.Jiwe gizani limempata mtu huku wadau huyu ni pure hana malinda siyo wakubishanae
indeed.Hiyo ghadhabu angejishushia mwenyewe enzi hizo anaendekeza mibange na usela mavi! Asituchoshe
Ungekuwa unamsapoti kwenye mziki ingependeza sana, lakini umebaki kumsapoti kwenye ujinga huyo konki aliyefeli mziki kabaki kujitwika makonyagi na kupiga domo.Go, go go dudu, usizimwe, ropoka tani yako mpaka wajitaje wote
ephen_Naitwa! Mamba! Dudu Baya, Oil chafu
Konki, konki, konki master
Walisha nibania na sichoki (konki)
Nang’ang’ania na sitoki (konki)
Na hiti hata kama si promote (konki)
Kwenye list nakutaja siogopi (konki)…
BK kama BK.Ungekuwa unamsapoti kwenye mziki ingependeza sana, lakini umebaki kumsapoti kwenye ujinga huyo konki aliyefeli mziki kabaki kujitwika makonyagi na kupiga domo.
OkDakika 37 tayari Phil Foden amepata umeme Man United 0-0 Man City .
Safi sana kijana, una hoja madhubuti zenye mantiki haswa.Uzuri ni kwamba hakuna binadamu anazaliwa na chuki
Chuki dhidi ya ushoga ni chuki za kurithishwa kupitia dini, sheria na society ideologies
Vitu ambavyo vyote vimetungwa na binadamu kwa maslahi yao
Hakuna dhambi kubwa hapa duniani kama kuharibu mazingira na kusababisha madhara kwa vyanzo vya uhai
Ila wamekaa na chuki za ushoga kwenye mioyo yenu, jambo ambalo watu wazima wawili wamekubaliana wanafanya kwa starehe zao
Nyerere alisema kuna wajinga na wapumbavu ila hata kwenye upumbavu hawatoshei
Cc. Dudubaya na supporters wake
HII NCHI INAONGOZWA NA SHERIA ZA ALLAH NA MTUME WAKE SAMIA NA NABII ABDUL NA MASWAHABA KINA ROSTAM AZIZI NA KIKWETE NA MZIMBABWE MWENYE GETO LAKE IKULU ROOM NO 7Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi?
Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu.
Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga?
Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa ngonjera na vibwagizo vya sijui ati "watch your back"?
Tangu lini vibwagizo vikaangamiza ushoga? Hivi hicho ni kibwagizo au kauli mbiu?
Huyu ngiri mwenye mandevu amefika mahala anatukana kila mtu mpaka kiasi hata cha kumdhihaki Waziri wa nchi kwa kisingizio cha ati anaangamiza ushoga!
Huu ni wakati sasa huyu ngiri mwenye mandevu abinywe kweli kweli mpaka ashike adabu.
Mziki umemshinda kabaki na vibwagizo visivyo na hoja wala mikakati.
Na vile hata mimi nashangaa kwanza ilikuwaje mpaka akawa msanii?
Hii inazungumza mengi sana kwamba hata mbumbumbu asiye na kipaji chochote anaweza kuwa msanii miongoni mwa wajinga.
Mimi hata sizijui nyimbo zake. Anaimba takataka tu mara sijui nakupenda bibi kizee sijui kikongwe.
Huyu ngiri mwenye mandevu abananishwe mpaka aache ndala.
Akataliwe na watu wote wenye akili timamu kama vile alivyokataliwa mbinguni, duniani, na kwenye tasnia ya mziki.
ndio kitu gani hiyo nonsense ndugu mdau wa jf?Unaungana na punga mwenzako

Tikisa mzizi!! Tentementeee😂Ahahahahaahaa konki asiye na kipaji.
Hizo sheriaHivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi?
Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu.
Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga?
Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa ngonjera na vibwagizo vya sijui ati "watch your back"?
Tangu lini vibwagizo vikaangamiza ushoga? Hivi hicho ni kibwagizo au kauli mbiu?
Huyu ngiri mwenye mandevu amefika mahala anatukana kila mtu mpaka kiasi hata cha kumdhihaki Waziri wa nchi kwa kisingizio cha ati anaangamiza ushoga!
Huu ni wakati sasa huyu ngiri mwenye mandevu abinywe kweli kweli mpaka ashike adabu.
Mziki umemshinda kabaki na vibwagizo visivyo na hoja wala mikakati.
Na vile hata mimi nashangaa kwanza ilikuwaje mpaka akawa msanii?
Hii inazungumza mengi sana kwamba hata mbumbumbu asiye na kipaji chochote anaweza kuwa msanii miongoni mwa wajinga.
Mimi hata sizijui nyimbo zake. Anaimba takataka tu mara sijui nakupenda bibi kizee sijui kikongwe.
Huyu ngiri mwenye mandevu abananishwe mpaka aache ndala.
Akataliwe na watu wote wenye akili timamu kama vile alivyokataliwa mbinguni, duniani, na kwenye tasnia ya mziki.
Mmeanza kutoa milio taratibuSawa tu lakini ujumbe ndio huo.
Aache kiherehere.