Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

Dudu anawachachafya sana, atapishwe tu atapike anayoyajua. Kuna vitu anavijua huyu mjuba, aachwe atapike, hata kunya anye kabisa, tena uharo, wenye kuona kinyaa waone, wenye kuchefukwa wachefuke hadi watapike nyongo. Dudu anawajua mashoga konk walijikita kwenye musiki muacheni aropoke tani yake
 
Hasira zake za kufeli mziki anazimalizia kwa watu waliobarikiwa.

Mshamba sana huyu konki wenu masta uchwara asiye na kipaji.
 
Mbona umeandika kwa uchungu sana na unaoneka una hasira kuliko hata hao ambao wamewahi kutajwa na Dudu Baya? Ama wewe ni ndugu moja na yule aliyetajwa na Dudu Baya? Namaanisha wewe na aliyetajwa yaani ni familia moja?
Yaani mna nasaba ya undugu namaanisha na aliyetajwa ama wanaotajwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…