Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

"Hali ni mbayaaa
Linda mgongo wako.
Yesu Kristo alinifikia msalabani.
Nilipoanza kuongea wengi walidhihaki kwamba muziki umenishinda,
Nimeanza kutrend Kabla ya miaka 30 ya bongofleva.
Na ntaendelea kutrend kwa jina la Mungu Baba,Mwana Yesu Kristo, Mtume Muhammad na Roho Mtakatifu.
You better watch your back "😁
 
Uzuri ni kwamba hakuna binadamu anazaliwa na chuki
Chuki dhidi ya ushoga ni chuki za kurithishwa kupitia dini, sheria na society ideologies
Vitu ambavyo vyote vimetungwa na binadamu kwa maslahi yao
Hakuna dhambi kubwa hapa duniani kama kuharibu mazingira na kusababisha madhara kwa vyanzo vya uhai
Ila wamekaa na chuki za ushoga kwenye mioyo yenu, jambo ambalo watu wazima wawili wamekubaliana wanafanya kwa starehe zao
Nyerere alisema kuna wajinga na wapumbavu ila hata kwenye upumbavu hawatoshei
Cc. Dudubaya na supporters wake
 
Safi sana kijana, una hoja madhubuti zenye mantiki haswa.

Nicheki DM nikutumie hela ya soda.
 
HII NCHI INAONGOZWA NA SHERIA ZA ALLAH NA MTUME WAKE SAMIA NA NABII ABDUL NA MASWAHABA KINA ROSTAM AZIZI NA KIKWETE NA MZIMBABWE MWENYE GETO LAKE IKULU ROOM NO 7
 
... 24/7 .................................. !
No menenti mente!
Mambo yenteyente!
Mambo tentemente!
🔥🔥🔥
 
Hizo sheria
Sawa tu lakini ujumbe ndio huo.

Aache kiherehere.
Mmeanza kutoa milio taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…