Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watashangaa pale picha yake itakapokosekana kwenye ugombea Urais. Ndipo fahamu zao zitakapowarudiaSina maelezo mengi habari kwa picha
šHapana tumuunge mkono mama ,Mama anatenda Soma na Mama.
Zipo zenye picha ya kasuku, spana etcNajua wangeweka picha yako usingeshtuka hivyo
Walete na miswaki ukiamka asubuhi unaswaki na mama na usiku ni hivyo hivyoo.......Mi5 tenašKuna Toilet Papers zinakuja zitakuwa na picha ya Mama
Hapana,tuweke za Wasiraš„“Zipo zenye picha ya kasuku, spana etc
Labda tuweke za Mnyikq
Mtaenda naye bichi tuWaache wahangaike na mama yao ila 2025 tunaenda na upinzani, hatutaki kujua wataifanyia nini nchi ila tunachojua ni kwamba tumeichoka fisiem, at this point tanzanians need anything but fisiem
Yule wataweka wkenye matoroli, majembe, vidampa na Vyuma-vyumaHapana,tuweke za Wasiraš„“