Duh mbona jua kali hivi halafu pakavu sana sio kawaida na majira ya miezi hii

Juzi nilipita Dodoma, Morogoro, DSM, Babati kote jua ni Kali

Dalili hizi, zinaonesha kwamba Mwaka huu kutakuwa na upungufu wa Chakula.

Niwasihi Wakulima wenzangu, tutunze chakula
Upungufu wa chakula na wakati kuna mazao yanastawi sana kwa jua kali
 
Maovu yamezidi halafu viongozi wa dini na manabii wamekuwa machawa. Hakuna wa kumsaidia mwenzake.

Mimi asili yangu ni moto naona sawa tu joto kuongezeka. Hofu yangu ni kwamba ukame unaweza sababisha upungufu wa vyakula.
 
Hakika mkuu

Mfano napoish wiki 2 hakuna maji
 
juma lililopita nilikua moshi uko walevi wanapigwa kelebu na waudumu eti wakalale izi walevi bana
Dah ila ila moshi ni kwetu ila kuna vijana wanatakiwa watembezewe bakora , miaka ya 80 hakukua na wapumbavu wa pombe kiasi kile🤔
 
Maovu yamezidi halafu viongozi wa dini na manabii wamekuwa machawa. Hakuna wa kumsaidia mwenzake.

Pamoja na kwamba jua limeongeza joto ,lakini jua lenyewe ndio huwa linafanya process ya kutengeneza mvua. Mwaka huu ni kama limegoma kutengeneza mvua.

Mimi asili yangu ni moto naona sawa tu joto kuongezeka. Hofu yangu ni kwamba ukame unaweza sababisha upungufu wa vyakula.
 
Dah ila ila moshi ni kwetu ila kuna vijana wanatakiwa watembezewe bakora , miaka ya 80 hakukua na wapumbavu wa pombe kiasi kile🤔
Hakika

Niliiikuwepo moshi wakati wa banana ilivyoanza kunyweka , aisee watu hadi walikuwa wanajinyea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…