unakuta kijana hata mguu wake sijui lini kakumbuka kupitishia brashi ausugue na pombe unambiwa kila siku anakunywaDah ila ila moshi ni kwetu ila kuna vijana wanatakiwa watembezewe bakora , miaka ya 80 hakukua na wapumbavu wa pombe kiasi kileπ€
hatari sanaππππ
hujambo AtotoHili jua linawaka kama limeshuka aiseeπββοΈπββοΈ
Mazao mengi yanayostawi Kwa hili jua ni Alizeti na Ufuta.Upungufu wa chakula na wakati kuna mazao yanastawi sana kwa jua kali
Jambo ninalo kwakweli mkuu!hujambo Atoto
Kaka now nakuunga mkono kupinga ulevi wa kipumbavu , wanatuaibisha sana sisi walevi wengine π€£unakuta kijana hata mguu wake sijui lini kakumbuka kupitishia brashi ausugue na pombe unambiwa kila siku anakunywa
Hela ya zaka mnahongea hakuna rangi tutaacha kuona, ila kuanzia trehe 2 zitaanza kunyeshaVp maeneo uliyopo au hali ni kawaida?
ni jambo jema kwa kweliJambo ninalo kwakweli mkuu!
Usianze kutafuta sababu kesho ufunge.Halafu kesho tunaanza mfungo!, si tutazimia mabarabarani...π€£
sasa fikiria mtu hata kuosha mguu wake unaompeleka bar anasahau kunawa mtu atacha kuwazarau walevi kwa mtaji huoKaka now nakuunga mkono kupinga ulevi wa kipumbavu , wanatuaibisha sana sisi walevi wengine π€£
LAANA YA SAMIA BUSHIRI ...AMELAANIWA NA ABDUL MZAWA WA TUMBO LAKE KALAANIWAVp maeneo uliyopo au hali ni kawaida?
Si mnakula hadi asubuhi, iweje mzimie?Halafu kesho tunaanza mfungo!, si tutazimia mabarabarani...π€£
Ndio maana baada ya kujua hilo sikupingi kakaππsasa fikiria mtu hata kuosha mguu wake unaompeleka bar anasahau kunawa mtu atacha kuwazarau walevi kwa mtaji huo
ππππLAANA YA SAMIA BUSHIRI ...AMELAANIWA NA ABDUL MZAWA WA TUMBO LAKE KALAANIWA
jua la utosiVp maeneo uliyopo au hali ni kawaida?