Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Kugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake.
Hakika wakati ni ukuta huwezi kushindana na wakati bahati mbaya Mbowe na timu yake hawakufikiria kuhusu wakati kuwakataa kuwa viongozi.
Sasa ni rasmi mkeka wao umechanika vibaya sana kwa sababu kuibuka kwa kwa ma giants haya ya chama (TUNDU LISSU NA JOHN HECHE) kume expose uchafu mwingi na madili mengi ambayo mwenyekiti alikuwa akifanya pasipo kujulikana.
Poleni sana timu Mbowe na Ccm kwa kuweka maridhiano binafsi pasipo kwenda kwa pamoja kwenye maridhiano hayo.
Mkeka umechanika vibaya sana.