Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Wanaandika vitabu wakishatoka.Bahati mbaya sana viongozi wengi wa Tanzania hawawezi kusoma alama za wakati. Ila wakitoka madarakani wanakuwa na akili.
Mtu anayewaza kuibiwa kura ujue hana watu wa kutosha kumchaguaIn team Mwenyekiti voice ".....Tumesha tuma maombi kwa sisiyemu watupe watu watatu waje watusaidie kuiba Kura...."
Hatushindwi na mtu wa ughaibuni hatushindwi na msingida sisi 😄
Kuna dili nyingi halali na haramu nyingi zimepigwa na FAM na kile chama cha kijani hivyo yuko radhi kile chama kimpe backup ili ashinde kulinda maridhiano yao ya siri.Huu mpambano utakuwa na matokeo ya kutatanisha sana. Maana akishinda Mbowe na Wenje, CHADEMA itakuwa haina tofauti na CUF ya Lipumba, na ile UDP ya Cheyo! Na wakishinda Lissu na Heche, mvuto wa chama kwa wananchi na wapenda mabadiliko, utarejea kwa kasi ya ajabu.
Hapo kwa wajumbe itakuwa ni kuchagua tu kusuka au kunyoa.
Alianza Msigwa, akafuata Lissu na sasa Heche. Hivi punde Godliness Lema atafuata kwenye hiyo orodha ya wasaliti wa Freeman Mbowe. Tarehe 21 January 2025 wasaliti hao watateketezwa wote na kuishia kusikojulikana na nchi yetu kubaki tulivu na salama. Asante sana Mr Freeman Mbowe kwa kutuondolea kundi hili ovu la wanaharakati lililokuwa linavuruga amani ya nchi yetu likiongonzwa na watu kama akina Maria Sarungi et al wanaoishi ughaibuni.Kugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake.
Hakika wakati ni ukuta huwezi kushindana na wakati bahati mbaya Mbowe na timu yake hawakufikiria kuhusu wakati kuwakataa kuwa viongozi.
Sasa ni rasmi mkeka wao umechanika vibaya sana kwa sababu kuibuka kwa kwa ma giants haya ya chama (TUNDU LISSU NA JOHN HECHE) kume expose uchafu mwingi na madili mengi ambayo mwenyekiti alikuwa akifanya pasipo kujulikana.
Poleni sana timu Mbowe na Ccm kwa kuweka maridhiano binafsi pasipo kwenda kwa pamoja kwenye maridhiano hayo. Mkeka umechanika vibaya sana.
Hapo benchi kuna Lema, Maria Sarungi n.k ni balaa tupuKugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake.