Hapana boss, naomba tu unionyeshe ni wapi nitapata ROI ya 30% ili nikakope CRDB kwa 21% nibakie na faida ya 9%...Kwanza kabisa nitake radhi kwa ku suggest nakopesha wauza unga.
Kabla ya hapo sitaweza kujibizana na wewe na wala wewe hutakiwi kujibizana na mtu anayeweza kukopesha wauza unga.
Sent from my Kimulimuli
Kumbe ni Kiranga huyu?Kwa kweli kiranga usijifanye hujui nilichomaanisha
Umenikashifu. Nimekuambia ondoa kashfa ili tuendeleze mazungumzo kama watu tunaoheshimiana.Hapana boss, naomba tu unionyeshe ni wapi nitapata ROI ya 30% ili nikakope CRDB kwa 21% nibakie na faida ya 9%...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye huelewi kwamba hata kama nchi iliharibika huko nyuma, yeye kwa pupa zake anaiharibu zaidi.Wanaomlaumu na kumponda Mh mtawala, mtakuja kumuelewa na kumkubali siku za usoni.
Nchi ilishaaribiwa ktk vipind vya watawala waliopita, yeye kwasasa anajaribu kuiweka tz katk hali ya msawazo kwanza.
4. Tanzania will become a pariah. External investors will fear and leave. Internal investors will scake back adversely.
5. The interest rate will fall even further to no effect since investor confidence will be so low.
Put your predictions here and let us revisit in 2-3 years.
The best way tovsettke an argument is to put it throughbthevtest if time.
Sent from my Kimulimuli
Naomba radhi mkuu..Umenikashifu. Nimekuambia ondoa kashfa ili tuendeleze mazungumzo kama watu tunaoheshimiana.
Kama nina sehemu ambayo napata super return unategemea nikuambie wakati umenikashifu na kukataa kuniomba radhi?
Wewe ni mjinga kiasi hicho kufikiri kwamba mimi ni mjinga kiasi hicho?
Sent from my Kimulimuli
Kama wanakuja kwasababu ya kutuibia, kwanini waje? Leo hii Acacia are praised wakati mlikuwa mnalalama arahaba wa 3%?
Unasema investors watakimbia wakati tunawaona kila kukicha wakipishana kutuma wawakilishi wao pale magogoni.. And soon plant ya kuchakata inaanza kujengwa pale Lindi, na utitiri wa viwanda vinajengwa nyie endeleeni kuota..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam. Huo ndiyo uungwana.
Wahenga walisema, mdharau mwiba, mguu huota tende.
Hahahahaha mkuu nadhani negativity is your best hobby..Na kama hawaji kwa ajili ya kuwaibia?
Nani ka praise Acacia? Wapi?
Unajuaje wanaotuma wawakilishi wao Magogoni ni investors na si matapeli?
Plant inayojengwa Lindi ni ya kuchakata nini? LNG? Unafahamu LNG is among the most expensive energy solutions? Unafahamu how challenging are the technicalities?
Utitiri wa viwanda vipi? Vya shoe shine?
Sent from my Kimulimuli
Ni wapi au kwenye investment ipi nitapata return kubwa kuzidi ya mkopo nikopao..Naam. Huo ndiyo uungwana.
Radhi umepata.
Tuendelee na mjadala.
Uliza unachotaka kuuliza upya maana radhi hii imeendana nankusahau yote uliyoandika ili nisiwe na kinyongo chochote nawe.
Sent from my Kimulimuli
Ni wapi au kwenye investment ipi nitapata return kubwa kuzidi ya mkopo nikopao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo wewe unayelaumu serikali kununua ndege on cash basis hizo interest rates za mkopo na ROI ulikuwa unazijua au unakisia tu?Swali lako halijakamilika kwa njia zaidi ya moja.
Kwanza, investment ina return. ROI.
Mkopo hauna return. Ukiuliza "ni wapi au kwenye investment ipi nitapata return kubwa kuzidi ya mkopo nikopako" ni kama umeuliza "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?"
Kama swali lako ni "nibwapi au kwenye investment ipi nitapata return kubwa kuzidi interest rate ya mkopo nikopako" swali hili ni logical na linaeleweka kwa sababu linataka kulinganisha rates, rate of return on investment vs interest rate on loan.
Ingawa swali linalotaka ku compare rates lina make sense, swali hilo bado halijibiki kama hujaweka mkopo wako umeupata wapi na kwa interest rate gani.
Ukiniuliza swali la interest rate bila kitaja interest rate unakuwa kama yule mfalme aliyemuita mtafsiri ndoto, akamwambia "nataka unitafsirie ndoto yangu". Halafu mtafsiri ndoto akamwambia mfalme, "naam, hiyo ndiyobkazi yangu, niambie ndoto yako ilikuwaje na mimi nitakutafsiria". Halafu mfalme akamwambia " nataka unitafsirie ndoto. Lakini tatizo nineisahau ndoto yangu. Hivyo kwanza nataka uniambie ndoto yangu ilikuwaje, kisha initafsirie".
.
Now thats bonkers.
Niambie mkopo wako umekopa wapi. Niambie umekopa lini. Niambie umepata interest rate asilimia ngapi. Kwa ushahidi gani. Halafu tuendelee kuelekezana.
Sent from my Kimulimuli
Watakuwa wateja wa kuinywa...Zinafanana na mitungi ya chang'aa kwa sababu tunataka kuteka solo la Kenya wakenya mnapenda hiyo changaa lazima mtapanda sana hiyo ndege[emoji120]
Hahaha! Haiya! Na hizi matatizo yameanza kuwakumba mapema hivi???
Mtu akiongea ukweli government anasema uchochezi, na hii ya ndege kama sie Lissu hakuna mtz angejua.Aligoma! ila this Tutampima kibabe lazima tujiridhishe! Usikute yuko under influence!
Ala! Ni kipi kinaashiria ninafikiromia hivyo?Kwa akili yako unafikirii hii deni ni ya Magufuli sio!!!!!!
....Acha kutuaibisha kwa majirani zetu, msemaji wa serikali naye ni vuvuzela? Hebu kuwa na adabu!Msisumbuke na vuvuzela Lissu atawaingiza kingi huyo ni msaliti za nchi yetu!