Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Katiba mpya ndio dawaHakika.
Kama wananchi wanakosa msaada kuanzia chini huko hadi kwa Rais basi tumekwisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya ndio dawaHakika.
Kama wananchi wanakosa msaada kuanzia chini huko hadi kwa Rais basi tumekwisha.
Humu ndani naona siku hizi watu wamekaa kichawa. Sinadhani kama watu wanajua historia ya nchi hii. Kwanza ni uongo kuwa Magufuli ndiye alie anzisha swala la kusikiliza malalamiko ya watu. Mfumo wa Rais kusikiliza malalamiko ya watu umekuwepo toka tupate Uhuru. Nyerere mara kwa mara alikutana na watu wenye shida mbalimnbali katika ziara zake.Raisi wa watu 65m sio kazi yake iwe kutatua individual cases, wele ambao hawana access kwake itakua je?,.....hiyo ni tabia mbaya alianzisha mwendazake kupata umaarufu wa kisiasa, na kulaghai wanyonge, kumbe mwenyewe ndo alikua adui wa watu wachini kuliko raisi mgine, Mama hongera kwa precedent hiyo, usikubali huo ujinga kwahiyo wote tunyanyuke tjkifuate uko ulipo kuna mtazania asio onewa au kudhlumia na watumishi wa ummah hususani police mahakamani aridhi nk.
Kwa hiyo Rais aache kushugulika na mambo makubwa ya nchi kama sera, ulinzi, mikataba aanze kutatua migogoro ya viwanja vijijini, mirathi, matatizo ya ndoa ? Akili za wapi hizi!Watu wako desperate. Ukiona hivyo ujue huko kwingine wanaona kama vile hawapati haki zao.
Wewe utakuwa MUNYONGAJI WA HAKI ZA WENZIO NDO MAANA UNAONA HICHO KILIVYOJITOKEZA UMESHANGILIA ILA KUMBUKANimependa Sana hii, haya maigizo ya kijinga ifike muda tuyapuuze yanaleta unafiki na utwana kwa viongozi wetu
Yupi alishakua rais wawanyonge ili tufanye ulinganisho na huyu wasasa?Raisi hawezi sikiliza watu zaidi ya 3 kwenye hotuba. Hio inajulikana kabisa sema tu raisi wetu wa sasa amedhihiri kuwa hana time na wanyonge [emoji23]
Kuna mambo ya kusimamiwa na Rais na mengine ya kufanyiwa kazi na mwenyekiti wa kijiji/mtaa n.kSasa kama hawasaidiwi waende kwa nani. Acheni kupwekesha jukumu la Rais.
Ukisema hawezi kusimamia mambo utapungukiwa na nini?
Yesu alikua rais wa nchi gani?.Acha kutoa mifano ambayo haina uhalisia.Usifananishe miujiza na utendaji au uwajibikaji wetu sisi binadamu kwenye serikali tulizoziweka wenyewe.ukifikiria kwa kutumia nguvu kidogo tu utaelewa. Hakuna mwenye akili ambae atakaa na shida yake amsubiri raisi apite ndo amueleze.
Ukiona mama kamfata raisi kuelezea shida yake uwe na hakika hajapata msaada katika ngazi alizopita huko chini ndo mana anaona msaada wake utatoka kwa raisi.
Hukumbuki wakati wa Yesu? sio kama hapakua na waganga wa kutibu watu ila kwanini wagonjwa walikua wanamuandama Yesu? ni kwasabab hawakupata uponyaji kwa hao waganga.
Ukiona huyo mama kafanya ujinga omba yakukute ndo utapata akili
Humu ndani naona siku hizi watu wamekaa kichawa. Sinadhani kama watu wanajua historia ya nchi hii. Kwanza ni uongo kuwa Magufuli ndiye alie anzisha swala la kusikiliza malalamiko ya watu. Mfumo wa Rais kusikiliza malalamiko ya watu umekuwepo toka tupate Uhuru. Nyerere mara kwa mara alikutana na watu wenye shida mbalimnbali katika ziara zake.
Si hivyo tu, alikuwa na ratiba ya kuoanana na watu wenye shida mbalimbali inapotokea. Wengine walimfuata nyumbani kwake. Tena kwa dharura bila kupangiwa tarehe.
Rais Mwinyi alikuwa anakutana na matatizo kama haya anapokuwa ziarani pia. Tena Mwinyi alitenga hadi siku maalum kupokea matatizo ya watu binafsi Ikulu Dar Es Salaam.
Mkapa aliendeleza huo mfumo wa kupokea malalamiko ya wananchi kama Rais wa nchi na kuyatatua. Akaja Kikwete vilevile. Nakumbuka Kikwete akifanya ziara alikuwa anawasikiliza wanaojitokeza njiani au katika mikutano, alikuwa anakutana na wenye matatizo Ikulu ndogo anapokuwa mikoani, na hata Ikulu Dar es Salaam na Dodoma.
kibali kilitolewa kupitia ofisi za Mkuu wa Mkoa kwenda Ikulu Dar kuonana na rais, na pia hata bila kibali kuna watu walisikilizwa. Hivyo tusipotoshe kusema Magufuli ndo mwanzilishi.
Rais wa nchi ni moja ya majukumu yake kusikiliza malalamiko ya wananchi wake na kutatua kero. Rais Samia ni muoga na mvivu wa kutatua kero za wananchi. Kwa mfumo wa uongozi nchini Tanzania, watu wengi wanadhulumika haki zao. Inafikia wakati Rais ndo mwenye power ya kutoa maamuzi hayo. Hii inatokana na katiba yetu ilivyompa power Rais.
Kama hataki kusikiliza abadili katiba ili kuwe na mifumo wezeshi itakayo leta mabadiliko ya mfumo wa uongozi na kiutendaji. Mfano nchi nyingi zilizoendelea, zinachombo kinachojitegemea na akiingiliwi na mtu au mamlaka yoyote, kipo katika kusikiliza malalamiko ya watu na hasa mtu anaposhindwa kupata huduma stahiki ya kiserikali.
Kwa Tanzania mfumo kama huo umewekwa mikononi mwa Rais. Lakini Rais wa sasa anakwepa hilo jukumu. Kusema tu wasaidizi wamesikia ni uigizaji. Kama swala limemshinda Mkuu wa Mkoa ambaye ndiye top mwakilishi wa Rais mkoa, kivyovyote vile Rais anatakiwa kuingilia kati. Nchi hii kuna watu wanaonewa, kuna watu wananyimwa haki zao. Ila Tanzania ya sasa siasa zimekuwa za kuchukiana, kulipiziana visasi, matusi na ushabiki usio na msingi wowote.
Tanzania kuna taratibu ya dawati la malalamiko katika kila mkoa, cha ajabu hao hao wajumbe wa hizo kamati wakati mwingine ndo unakuta wanalalamikiwa. Hizi kamati zimefutika zenyewe, hakuna wa kumsikiliza mtu. Kwa kawaida zilitoa mapendekezo kwa mkuu wa mkoa. Lakini zimekufa kifo cha mende.
Watanzania tupendane, kuna watu wanaumizwa saana huko mtaani hali ni ngumu. Kama tutakaa tu na kusifu, na kutukana haisaidii! Katiba mpya inahitajika. Tubadili mfumo wa kiutendaji. Mfano hawa wakuu wa mikoa wawe wanachaguliwa. Hii teuzi teuzi kila mtu anamuona mwezake sawa tu.
Huyu mama hapendi maigizo kama ya yule kichaaIt was staged, huyu raisi wenu nafikiri ana personal issues na Magu (RIP) kwa maana kila anachokifanya kimemlenga Magu, kwa nini ?
Get a life woman !
Mama yenu alichemka, angetumia lugha ya u-mama kumridhisha mwenye shida.Kwa hiyo Rais aache kushugulika na mambo makubwa ya nchi kama sera, ulinzi, mikataba aanze kutatua migogoro ya viwanja vijijini, mirathi, matatizo ya ndoa ? Akili za wapi hizi!
Umenena vyemaHata Magufuli hakufanya maamuzi pale pale alikabidhi kwa vyombo husika! Ila huyu sasa? Kwanza mwanamke mwemzie halafu lugha inayotumika? Kwa kifupi huyu bibi hanaga habari na watu wa maisha duni!
Kwenye mamlaka hakuna lugha ya umama au ubaba, kuna lugha ya uungwana.Mama yenu alichemka, angetumia lugha ya u-mama kumridhisha mwenye shida.
Ninavyomfahamu huwa anakurupuka na matamko ya jazba baadae anakuja kurekebisha kinafki.
Kama alisikiliza huo haukua wajibu wake.Aliyekwambia kuwahudumia wananchi ni kwa style hiyo ni nani.nenda kajifunze majukumu na wajibu wa rais kisha urudi kwenye mjadala.acha kutuletea mambo yakumpangia rais majukum yasiyokuwepo kwasababu tu babu yako alikua akifanya hivyo.Wewe ndo unajitoa ufahamu. Unajifanya hujawahi ona Samia anasikiliza kero ya mtu mmoja mmoja?
Sema Rais hana uwezo na mambo Magumu, anayaogopa hatari.
Kimsingi anakwepa jukumu lake la kuwahudumia wananchi.
Ila kura ruksa kuja kuomba ata kwa mmoja mmoja?Dawa ni katiba mpya, hakuna nchi inayojielewa ambayo Rais anatatua migogoro ya mashamba na ndoa kwa mwananchi mmoja mmoja.
Acha basi ale kuku wa ikulu, alale, anye, aoge.Kama alisikiliza huo haukua wajibu wake.Aliyekwambia kuwahudumia wananchi ni kwa style hiyo ni nani.nenda kajifunze majukumu na wajibu wa rais kisha urudi kwenye mjadala.acha kutuletea mambo yakumpangia rais majukum yasiyokuwepo kwasababu tu babu yako alikua akifanya hivyo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ambayo huyu mama hakuitumia kabisa.kuna lugha ya uungwana.
Mkuu wa Wilaya alikuwepo pia anawezaAcha basi ale kuku wa ikulu, alale, anye, aoge.
Umefurahi ee!
Maana unaona kuwasikiliza wananchi ni shida.