Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Ukikosa majibu humu basi mfuate pharmacist wa wilaya atakupa guide
Mbona hiyo pesa ndogo sana.
Laki sita ndogo sana
Toa mchanganuo wa biashara ya chipsFungua kijiwe cha chips mkuu, utakula hasara hata mwezi haufiki na biashara utafunga
hiyo 6laki ndo inajumuisha pango pamoja na maanfalizi ya chumba cha buashara au mipango yako ikoje!
2mil angalau utasomeka kwa wateja mkuu
Oky fikisha walau milioni mkuu nitakupa list ya madawa.Hiyo kwa ajiri ya kununulia madawa tu
We kweli mujinga kweli mbona hapa bukoba kuna makabila mengi na shughuli zinaendelea kama kawaida mbona mbaguzi hivyo.Wewe ni mwenyeji wa uko? Wahaya wanakasumb ya kununuzana wao kwa wao kama niwakwenda tuu angalia izo dawa isifikie sehm ukaanza kuzinywa mwenyw
We kweli Muhaya 😀😀 eti mujinga.We kweli mujinga kweli mbona hapa bukoba kuna makabila mengi na shughuli zinaendelea kama kawaida mbona mbaguzi hivyo
Speaking of the SHELVES. Zinaweza cost bei gan kwa room yenye ukubwa wa kawaida. Hasa zile za vioo.Umeshapata Chumba au Ni Nyumba yako?
Umeshaweka Fixtures (Shelves)
Umeshasettle Usajiri kwa mamlaka husika au bado?
Laki 6 zaweza kutosha shehena ya Kuanzia tu,bila Vitu vingine.