Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Sio duka baridi ila duka muhimu .Sio lazima uwe na hiyo fani ila muuzaji awe na cheti cha ADO , muulize mfamasia wa wilaya . Huwezi ukafungua tu kwa kua una pesa kwani dawa sio vutunguu au nyanya . Nijibu swali , milioni mbili unaweza ukaanza polepole kama ukifuata sheria
 
Naomba ushauri wana jamvi.

Nina mtaji wa hela hapo juu nina hitaji kufungua duka la dawa za binadamu mkoan Kagera nina omba mwenye list ya madawa ya binadam yakuanza nayo.

Maoni yako ni yamuhimu sana karibu sana.
 
Hiyo 6laki ndo inajumuisha pango pamoja na maandalizi ya chumba cha biashara au mipango yako ikoje!
2mil angalau utasomeka kwa wateja mkuu.
 
Umeshapata Chumba au Ni Nyumba yako?
Umeshaweka Fixtures (Shelves)
Umeshasettle Usajiri kwa mamlaka husika au bado?
Laki 6 zaweza kutosha shehena ya Kuanzia tu,bila Vitu vingine.
 
Wewe ni mwenyeji wa uko? Wahaya wanakasumb ya kununuzana wao kwa wao kama niwakwenda tuu angalia izo dawa isifikie sehm ukaanza kuzinywa mwenyw
We kweli mujinga kweli mbona hapa bukoba kuna makabila mengi na shughuli zinaendelea kama kawaida mbona mbaguzi hivyo.
 
Umeshapata Chumba au Ni Nyumba yako?
Umeshaweka Fixtures (Shelves)
Umeshasettle Usajiri kwa mamlaka husika au bado?
Laki 6 zaweza kutosha shehena ya Kuanzia tu,bila Vitu vingine.
Speaking of the SHELVES. Zinaweza cost bei gan kwa room yenye ukubwa wa kawaida. Hasa zile za vioo.
 
Back
Top Bottom