Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Sio duka baridi ila duka muhimu .Sio lazima uwe na hiyo fani ila muuzaji awe na cheti cha ADO , muulize mfamasia wa wilaya . Huwezi ukafungua tu kwa kua una pesa kwani dawa sio vutunguu au nyanya . Nijibu swali , milioni mbili unaweza ukaanza polepole kama ukifuata sheria