Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Mwenye kuzifaham changamoto za hii biashara ya duka la dawa muhimu anijuuze kabla sijaanza hii kazi
 
Naomba ushauri wana jamvi nina mtaji wa hela hapo juu nina hitaji kufungua duka la dawa za binadamu mkoan kagera nina omba mwenye list ya madawa ya binadam yakuanza nayo

Maoni yako ni yamuhimu sana karibu sana
Frame iko tayari? Vinginevyo kama bado hujaaandaa frame basi hiyo hela itatosha kununulia dawa za asili na uchawi na siyo vinginevyo.
 
Ww ni mwenyeji wa uko? Wahaya wanakasumb ya kununuzana wao kwa wao kama niwakwenda tuu angalia izo dawa isifikie sehm ukaanza kuzinywa mwenyw
Mkuu hayo uliyosema yana ukweli wowote maana nafikiria kutanua biashara zangu huko.
 
Frame iko tayari? vinginevyo kama bado hujaaandaa frame basi hiyo hela itatosha kununulia dawa za asili na uchawi na siyo vinginevyo

Duu inamaana ukuelewa thread yangu? Hakuna nilipozungumzia dawa za asili.
 
AKASINOZO,
Kila kitu kinawezekana usiogope upo kagera sehemu gani je una mahali pakufungulia duka lenyewe nijibu hili now.
 
Naomba ushauri wana jamvi nina mtaji wa hela hapo juu nina hitaji kufungua duka la dawa za binadamu mkoan kagera nina omba mwenye list ya madawa ya binadam yakuanza nayo

Maoni yako ni yamuhimu sana karibu sana
Usiogope nilishawahi anza na sh laki 250 kama mtaji baada ya kuandaa kila kitu lilifikia sh mil 5 cha muhimu kwasababu una sehemu ya kuanzia nenda maduka jirani au nenda pharmacy za jumla waambie nahitaji dawa za sh laki 6 ila naomba fast moving medcs wanazijua na wanakupa ushauri palepale nini cha kufanya laki 6 unapata dawa za kuanzia usisubiri uwe na kiasi kikubwa weka hizo laki 6 simamia biashara ukipata kidogo kwenye mizunguko changanya na hizo kaongeze mzigo capital yako itakua wakati unazungusha ndani y bznss usisubiri kuwa na mil wakati hata laki 6 inaweza kuanzia pia kuna maduka hutoa dawa then ukawa unarudisha pesa kila wiki au mwezi nenda kaongee nao then njoo niambie una kwama wapi.
 
Kila kitu kinawezekana usiogope upo kagera sehemu gani je una mahali pakufungulia duka lenyewe nijibu hili now.

Nipo wilya ya kyerwa nimeshapata pango mkuu drive. Nipe udamvu zaidi.
 
Usiogope nilishawahi anza na sh laki 250 kama mtaji baada ya kuandaa kila kitu lilifikia sh mil 5 cha muhimu kwasababu una sehemu ya kuanzia nenda maduka jirani au nenda pharmacy za jumla waambie nahitaji dawa za sh laki 6 ila naomba fast moving medcs wanazijua na wanakupa ushauri palepale nini cha kufanya laki 6 unapata dawa za kuanzia usisubiri uwe na kiasi kikubwa weka hizo laki 6 simamia biashara ukipata kidogo kwenye mizunguko changanya na hizo kaongeze mzigo capital yako itakua wakati unazungusha ndani y bznss usisubiri kuwa na mil wakati hata laki 6 inaweza kuanzia pia kuna maduka hutoa dawa then ukawa unarudisha pesa kila wiki au mwezi nenda kaongee nao then njoo niambie una kwama wapi

Nimefarijika kwa maono yako natumai nitafanisha jambo ilo Mungu akujalie moyo wa kusaidia zaid zaid nimejifunza kituu hapa nitakupm zaidi.
 
Una certificate ya kuuza dawa. Hela haitoshi isijw TFDA wakakunyanganya vyote. Fremu ipakwe white colour,tiles sakafuni, shelf na meza ya kioo. Otherwise TFDA watakufungia
 
Sasa broo. Laki sita c utaweka vidawa viwili witatu na utaonekana unatania?
 
Back
Top Bottom