Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

Hivi hakuna namna yoyote ya kumfungulia kesi huyu jamaa hata kama kafa ?
Udhaifu wa sheria zetu hizi, yaani mtu mmoja anaifanya taasisi ya Rais kama mali ya mama yake na anaangaliwa tu

Kama Bunge lingekuwa na meno na sheria zinafuatwa angetolewa kwa kutokuwa na Imani nae na shtaka juu

Ila kwa nchi masikini na viongozi masikini wa akili na mali na busara basi hakuna namna kila anaekuja anaamua kufanya anavyoamka nayo na hakuna wa kumzuia akisema kesho wote tunakimbia Tutakimbia tu
 
Hivi Biswalo Mganga huwa hapiti humu?- Kwanini asijibu/askunushe haya kupitia hili jukwaa?
 
Yaani mimi sioni excuse yoyote ya kumtetea mwizi au muovu.

Ilitakiwa wanyang'anywe kila kitu. Wewe kama una mali nyingi kwa nini uibe. Tunakukomoa ili na wengine waogope kuiba.
Sasa mtu akiiba laki moja anaambiwa alipe hio hio unadhani siku ingine ataogopa kuiba. Maana kupatikana umeiba ni kubet.
Atarudia tena na tena. Na kuna wakati hamtambua kama aliiba. So bora hao watumishi wajengewe nidhamu ya woga kwa Sheria kali.

Serikali ya Samia imejaa wapumbavu na wapiga dili. Hawaoni uchungu na ubadhirifu unafaonyika.
Wanapelekea mpaka watu wanakumbwa na magonjwa ya akili sababu ya upumbavu wao wa kushindwa kuweka sera bora za kwa maisha ya watu.

Shaiwn serikali ya hovyo
 
Another credit to President Samia, and her adiministration.

Ule ulikuwa ni uhuni na ujambazi wa hali juu. Unawatesa watu ili watoe hela, na wakiitoa unaipora wewe na washirika wao. Walio hai wafikishwe mahakamami, wafilisiwe, na maisha yaliyobakia,wamalizie jela.
 

Wewe unaamini kabisa hii habari? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakupa muda uje useme hapa nini kinaendelea
 
Magufuli alikuwa ni shetani ndani ya mwili wa mwanadamu. Kama hujui tafsiri ya neno SHETANI kwenye kamusi, basi angalia matendo ya Magufuli
Nimeangalia hiyo avatar yako Mkuu nikakumbuka lile tukio kule Mwanza...
 
Zilikwapuliwa hela zilizokwapuliwa kutoka serikalini kipindi cha nyuma....hakuna mtu anayekatqa kuwa wizi,ubadhirifu,rushwa ilitamqlaki hapa nchini na hao wenye hizo fedha wamezipata kutoka njia haramu na rushwa....si mara ya kwanza hii kitu kutokea hata Mwalimu Nyerere alitaifisha na kuwaweka ndani wahujumu uchumi lqkini heshima yake kwa mwananchi wa kawaida ipo mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…