mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
- Thread starter
-
- #21
Mbona waarabu wengi tu wapo wasio waislam?Hapa umegusa mwarabu, subiri uone moto wa wavaa kobazi
Wewe umejuaje kama na hao wengine wamenunua kivyaoHili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Jina la vibao ni la alwasifWewe umejuaje kama na hao wengine wamenunua kivyao
Mwenye nchi yupi ambaye amelalaAnyan'ganywe na ashitakiwe haraka sana kwa kunyanyasa wwenye nchi
Enjoy diversity , enjoy democracy . Na sidhani kama foreigner anaweza kuwa na complete ownership kwenye nchi aliyofikia huwa wana leaseholding tu na si total ownership.Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Fanya yako mzee unakomaa na ardhi isiyo yako,jipiganie mwenyewe kwa ardhi yakoHili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Nafanya sana tu na hichi kipande cha lami ni cha jamhuri ya muungano wa tanzania sio cha yemen ujueFanya yako mzee unakomaa na ardhi isiyo yako,jipiganie mwenyewe kwa ardhi yako
Hii sio mbaya kama zilikuwa sokoni zinauzwaHili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Kujitafutia kipato wapi ? Kwamba frame zimekwisha au ? Kama ni kuhusu Parking na ni Public basi ingekuwa busara wengine kuweza kutumia kama yeye hayupo Au ni kuongea na mipango miji kuona wanafanyaje sababu parking hazitoshiLengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Wasitumie kufanya nini ? Parking ? Nadhani tatizo la congestion ni la dunia na hii ni angalizo kwa city planners either waweke parking nyingi au nje ya mji na kuwe na public transport nzuri ili watu waweze kufika pa kufikika bila uhitaji wa private carsHizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
Hapo huenda una hoja..., parking itumike kama parking lakini je angekuwa anakuja na kupaki magari yake kwa siku nzima angekuwa sawa...; labda kosa ungesema ni kwa aliyemuuzia kwanini auze sehemu ya public.., sababu kama kauza legally hio sio public tena bali ni privateAt least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Huyo Mwarabu sio Mtanzania ? Sababu huenda na yeye ni Mtanzania kama wewe lakini hapa issue ni kama sheria imevunjwa na sio Uarabu wake..., Na nyie kama mnataka parking ili mfanyie biashara na sio kupaki, basi mtakuwa walewale tu wavunja nchiTunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Sawa, ila huyu jamaa anaudhi zaidi kuliko hata hiyo lughaunaweza kuwa na hoja lakini umetumia lugha ya kuudhi na ya kibaguzi wewe mdigo
Kinacho kupa uhalali wa kuwa raia wa nchi fulani sio rangi yako bali ni kutimiza vigezo vya kuwa raia wa nchi husika acheni ubaguzi wa kijinga.Kwa kuwa ni mwarabu mwenzako umepanik?
Unalipiaje parking kwa ajili ya kufungua duka? Trna kwenye lami? Kama ni hivyo si awe tu machinga?
Waalabu watawanyonya mpaka macho hayo subirini tu watumwa wakubwa,
Halafu huyu wala si mtanzania huyu, hakuna mwalabu yoyote mtanzania
Shida bro ume-panic,nimekuwa interested kujua hao unaosema amechukua na parking za maduka yao wanasemaje?Amenunua parking ya duka lake, hamna shida
Sasa hizi parking za maduka mawili mengine kwanini nazo anazuia?ameweka na vibao kabisa za jina lake
Halafu sio mtanzania sasa
Lakini wakati huo nyinyi weusi mmejazana kwenye nchi zao mkifanya huo uchuuzi.Hii Nchi biashara ya uchuuzi ingefanywa na wazawa tu , watu weusi na si hawa simbilisi toka Asia ,
Idd Amin nilipenda sera yake hii .
Kuruhusu hawa mbuzi kuja huku na kuziba riziki za wachuuzi na wabangaizaji wazawa watu weusi ni useng€ , kwao hawaruhusu huu upumbavu ,sisi ndio tunaruhusu .
Ufaka huuu
Na wewe ni moja kati ya hao wenye maduka?Jina la vibao ni la alwasif
Hivi duka moja lianaruhusiwaje kununua parking tatu ? Sehemu moja? Hui ni ukaburu huu