Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,

Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,

Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.

At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,

Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi

Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Wewe umejuaje kama na hao wengine wamenunua kivyao
 
Enjoy diversity , enjoy democracy . Na sidhani kama foreigner anaweza kuwa na complete ownership kwenye nchi aliyofikia huwa wana leaseholding tu na si total ownership.
 
Sitaegemea sana kwenye ishu ya kwamba labda inatumika nguvu ya pesa kuhusu jambo hili ila wote tunajua Kariakoo kulivyokuwa na ugumu wa parking na ni uwongo kusema “amenunua” hata wewe ukitaka leo nenda pale Anoutoglou utapewa sehemu zako za kupak alimradi tu uzilipie.

Kariakoo hasa mitaa tajwa hapo juu ina muingiliano mkubwa sana wa watu na magari so bila kuwa na parking ya uhakika mwenye duka hawezi kushusha mizigo wala kupakia mizigo yake kwa utulivu na usalama,aliyefanya hivi amedhamiria kwamba akitoa mzigo store ushushwe kwa usalama pia akitaka kutoa mzigo dukani upakiwe kwa usalama that's it.
 
Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,

Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,

Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.

At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,

Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi

Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Fanya yako mzee unakomaa na ardhi isiyo yako,jipiganie mwenyewe kwa ardhi yako
 
Hii Nchi biashara ya uchuuzi ingefanywa na wazawa tu , watu weusi na si hawa simbilisi toka Asia ,
Idd Amin nilipenda sera yake hii .
Kuruhusu hawa mbuzi kuja huku na kuziba riziki za wachuuzi na wabangaizaji wazawa watu weusi ni useng€ , kwao hawaruhusu huu upumbavu ,sisi ndio tunaruhusu .
Ufaka huuu
 
Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Hii sio mbaya kama zilikuwa sokoni zinauzwa
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Kujitafutia kipato wapi ? Kwamba frame zimekwisha au ? Kama ni kuhusu Parking na ni Public basi ingekuwa busara wengine kuweza kutumia kama yeye hayupo Au ni kuongea na mipango miji kuona wanafanyaje sababu parking hazitoshi
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
Wasitumie kufanya nini ? Parking ? Nadhani tatizo la congestion ni la dunia na hii ni angalizo kwa city planners either waweke parking nyingi au nje ya mji na kuwe na public transport nzuri ili watu waweze kufika pa kufikika bila uhitaji wa private cars
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Hapo huenda una hoja..., parking itumike kama parking lakini je angekuwa anakuja na kupaki magari yake kwa siku nzima angekuwa sawa...; labda kosa ungesema ni kwa aliyemuuzia kwanini auze sehemu ya public.., sababu kama kauza legally hio sio public tena bali ni private
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi

Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Huyo Mwarabu sio Mtanzania ? Sababu huenda na yeye ni Mtanzania kama wewe lakini hapa issue ni kama sheria imevunjwa na sio Uarabu wake..., Na nyie kama mnataka parking ili mfanyie biashara na sio kupaki, basi mtakuwa walewale tu wavunja nchi
 
Hawa wapuuzi wanakuja kufanya uchuuzi na wanachovuna wanapeleka kwao , usenge huu .
Hawa wangeruhisiwa kuja kufanya heavy investments tu kama manufacturing nk na si kufanya biashara za uchuuzi kama hivyo , kwanza ni kuua possibilities za kukuza pato la wachuuzi wazawa kupiga hatua kiuchumi .
 
Kwa kuwa ni mwarabu mwenzako umepanik?
Unalipiaje parking kwa ajili ya kufungua duka? Trna kwenye lami? Kama ni hivyo si awe tu machinga?
Waalabu watawanyonya mpaka macho hayo subirini tu watumwa wakubwa,

Halafu huyu wala si mtanzania huyu, hakuna mwalabu yoyote mtanzania
Kinacho kupa uhalali wa kuwa raia wa nchi fulani sio rangi yako bali ni kutimiza vigezo vya kuwa raia wa nchi husika acheni ubaguzi wa kijinga.
 
Amenunua parking ya duka lake, hamna shida

Sasa hizi parking za maduka mawili mengine kwanini nazo anazuia?ameweka na vibao kabisa za jina lake
Halafu sio mtanzania sasa
Shida bro ume-panic,nimekuwa interested kujua hao unaosema amechukua na parking za maduka yao wanasemaje?

Serikali inachoangalia ni hela shida yenu Wakinga Wachagha na Wapemba mliojaa hapo Kariakoo hamtaki kufuata sheria,unakuta mtu mzigo wa Canter anataka gari isimame katikati ya mtaa ashushe au apakie amalize yaani ndani ya saa moja barabara imefungwa na mtu mmoja mwenzenu kaamua afuate sheria mnam-snitch.
 
Hii Nchi biashara ya uchuuzi ingefanywa na wazawa tu , watu weusi na si hawa simbilisi toka Asia ,
Idd Amin nilipenda sera yake hii .
Kuruhusu hawa mbuzi kuja huku na kuziba riziki za wachuuzi na wabangaizaji wazawa watu weusi ni useng€ , kwao hawaruhusu huu upumbavu ,sisi ndio tunaruhusu .
Ufaka huuu
Lakini wakati huo nyinyi weusi mmejazana kwenye nchi zao mkifanya huo uchuuzi.
Alafu kingine kinacho kupa haki ya kuwa raia wa Tz sio rangi yako.
 
Back
Top Bottom