Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

Akili kama za kwako ndo zimefanya waafrica kuwa wapumbavu na masikini.
Hizo hekari unazo lalamika kupewa huyo mjordani hazikuwepo siku zote ila zilidondoka kutoka mbinguni baada ya kuja huyo mjordani?
Na je kama zilikuwepo miaka yote ww kama mzawa ulisha enda kutaka kuwekeza hapo serikali ikakutalia alafu wakampa huyo mjordani?

Hata ukienda Marekani ,Ulaya ukataka ardhi kwa ajili ya uwekezaji wa kilimo watakupa lamsingi ni hela.

Alafu acheni hizo lugha zenu za kibaguzi mtu kuwa muarabu au muhindi hakumuondolei halali ya kuwa mTz a ww huo weusi wako haukupi uhalali wa kuwa mTz kila raia wa Tz ana haki sawa bila kujali dini asili wala kabila.
 
yaani unaongea as if na yeye si mtanzania

nyie kawasinda biashara ondoeni njaa zenu hapo ni mali yake

kipato katafutie uliponunua sio sehem za watu

matanzania kama matoto,mategemezi majitu ya kulia lia sana,yanataka vitu vya bure tu

kanunueni kwenu mfanye mnavyotaka

hapo anataka kuililia serikali iende imnyang'anye mtu mali zake kanunua kwa pesa yake kuleta uzulumati

poor people are such evil people.....i wish mfe wote washenzi nyie

mnataka kutumia serikali kuleta uzulumu wa mtu na mali zake,kanunua kwa jasho lake,atumie asitumie ni zake

tujifunze kuheshimu private property ni haki ya binadamu na sio nyie ambao hamna mje na maserikali yenu na wanasiasa vichaa kudhulumu mtu

Heshimu private property doctrine!

Takataka nyie masikini
 
Mkuu tunapaswa kupambana kwa kadri ya uwezo wetu, tukilaumu watu tutaishia kulaumu milele.
 
Mjomba mbona umepanic?
Umeelewa nilicholalamikia lakini?
Kwanza sio mtanzania, pili kanunua parking za maduka mengine, tatu hazitumii hizo parking kwa kuweka magari, inne unaweza kufika pale ndanda/ narungombe kama upo dar es salaam ujionee mwenyewe, tano mimi sijatukana mtu kwanini wewe unitukane? Sita waarabu wote warudi kwao, hii inchi ni ya wabantu
 
Hajakutukana popote bali ni kweli kuwa ww huna akili.
Hizo lawama unazo mpa huyo jamaa ungeipa serikali yako iliyo muuzia hizo packing ,yeye hajanunua hapo kuwakomoa bali amepanunua kwa masilahi yake ya kibiashara na wala si dhani kama ni wajibu wake kuwafurahisha nyinyi.

Nioneshe kifungu cha katiba kinacho sema kigezo cha kuwa Mtz ni kuwa mbantu au mweusi?
Ya kwamba hii ardhi umeiumba ww mpaka uje ujimilikishe sehemu useme ni ya watu fulani na watu wengine haiwahusu?
Vip na ww kwanini isiondoke hapo Dar urudi nyumbani kwenu maana Dar ni mkoa wa wazaramo?
Nimesha kuhelimisha ya kuwa mtu kuwa mwarabu ,mzungu,muhindi ,mchina hakumuondolei uhalali wa yeye kuwa raia halali wa Tz na ww weusi wako hakupi uhalali wa ww kuwa raia wa Tz.
Unaweza kukuta huyo muarabu ni mtanzania halali na ww pamoja na weusi wako ukawa mrundi au mkongo unaye ishi ndani ya Tz kijanja janja.
 
Nenda kazalie kwao uone kama mtoto wako atatambuliwa kama mzawa na kupewa haki sawa na hao waarabu wenyeji,.....bado ataitwa MGENI na Mtumwa tu na hiyo ngozi yenu yenye rangi ya laana,.....Hao watabaki kuwa wageni tu, na kwa kulijua hilo , angalia wao wenyewe wanavyo JITENGA na NYINYI , ilihari wapo kwenye ardhi yenu lakini hawawaoni kwa usawa huo mnaouina nyinyi...musidanganyike na kujipendekeza pendekeza kwa hao WAGENI,...
 
Nina akili za kutosha ALHAMDULILLAH, na ndio maana najua haki zangu,

Mwarabu amenunua parking za maduka mengine, je inaruhusiwa? Yaani yeye duka lake ni moja, halafu anunue na maeneo ya mbele ya maduka mengine mawili yaani kwa jirani zake je ni haki? Kuwanyima jirani kufanya harakati tema kwenye maeneo yao?

Mwisho wa yote si mtanzania anaishi kijanja janja tu

Kweli wapo weusi wengi warundi, congo, rwanda, uganda na hata wakenya wanaishi kijanja janja
Ila hawa waarabu wananyanayasa wanainchi

Hakuna mwarabu mtanzania
 
Wanaotetea wote wameshindwa kujibu swali hili,

Je naweza kununua parking mbele ya duka la mtu na nifungue biashara?
Au nilipie parking lakini nisiweke gari?
Au nilipie na ibaki tu wazi mimi nisiitumie na wengine wasiitumie japo wanaihitaji?

Huu ujinga uliwepo kwa makaburu tu
 
Kama ameIlipia kihalali sio kesi.
Tutafute pesa tuachenmalalamiko.

Hata USA wasanii wanashindanabkununua tiketi za wasanii wenzao karibu zote ili mwenye tamasha la muziki akose wahudhuriaji....

Pesa
Pesa
Pesa
Hila
Hila
Biashara
Biashara
Tulia baba
 
Kama ameIlipia kihalali sio kesi.
Tutafute pesa tuachenmalalamiko.

Hata USA wasanii wanashindanabkununua tiketi za wasanii wenzao karibu zote ili mwenye tamasha la muziki akose wahudhuriaji....

Pesa
Pesa
Pesa
Hila
Hila
Biashara
Biashara
Tulia baba
Hembu eleweni nacholalamikia jamani , acheni kukurupuka
Hivi mtu alipie parking mbele ya duka au geti lako ushindwe kufanya harakati ndio sahihi kwa kuwa tu katoa hela?
Huyu ni mhujumu uchumi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…